Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 398

Category: Habari za Nyumbani

Ikulu Yakanusha JK Kupewa Zawadi ya Saa na Mfanyabiashara

Posted on: October 9, 2014 - jomushi
Post Tags: Ikulu, Rais Kikwete, Zawadi
Ikulu Yakanusha JK Kupewa Zawadi ya Saa na Mfanyabiashara

GAZETI la Raia Mwema la wiki hii ya Oktoba 8-14 ambalo limetolewa jana, Jumatano, Oktoba 8, 2014, limeandika kwenye ukurasa wake wa kwanza habari yenye…

Continue Reading....

JK Asema Katiba Inayopendekezwa ni Historia Mpya…!

Posted on: October 9, 2014 - jomushi
Post Tags: Katiba Mpya, Rais Kikwete
JK Asema Katiba Inayopendekezwa ni Historia Mpya…!

Na Benedict Liwenga, Maelezo – Dodoma KATIBA Inayopendekezwa imekabidhiwa rasmi 8 Oktoba, 2014 kwa Waheshimiwa Marais wa Tanzania Bara, Dk. Jakaya Kikwete pamoja Rais wa…

Continue Reading....

Suluhu kwa Wagonjwa wa Figo, Mfumo wa Mkojo Yapatikana

Posted on: October 9, 2014 - jomushi
Post Tags: Mkojo, Wagonjwa wa Figo
Suluhu kwa Wagonjwa wa Figo, Mfumo wa Mkojo Yapatikana

SULUHU kunufaika na kile ambacho wachambuzi huona kama nafasi adimu katika sekta ya afya. Hii ni kwasababu nchi inatarajia kupokea wataalamu wawili kutoka taasisi mashuhuri…

Continue Reading....

Kura ya Hapana Bungeni Yamfukuzisha Kazi Mwanasheria Mkuu Zanzibar

Posted on: October 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Kura za Katiba, Mwanasheria Mkuu, Zanzibar
Kura ya Hapana Bungeni Yamfukuzisha Kazi Mwanasheria Mkuu Zanzibar

HATUA hiyo ya Dk Shein imekuja ikiwa ni wiki moja tangu mwanasheria huyo kukataa ibara 22 za Katiba inayopendekezwa wakati wa Bunge Maalumu la Katiba,…

Continue Reading....

Halima Mdee Apelekwa Segerea, Akosa Dhamana

Posted on: October 8, 2014October 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Halima Mdee, Mbunge, Segerea
Halima Mdee Apelekwa Segerea, Akosa Dhamana

MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35), jana alikosa dhamana na kupelekwa rumande katika Gereza la Segerea hadi…

Continue Reading....

Asilimia 38 ya ‘Walevi’ Kinondoni Walianza Utotoni

Posted on: October 7, 2014October 7, 2014 - jomushi
Post Tags: kinondoni, TAMWA, Unywaji Pombe
Asilimia 38 ya ‘Walevi’ Kinondoni Walianza Utotoni

ASILIMIA 38 ya wanywaji wa pombe Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaa walianza matumizi ya pombe wakiwa watoto. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari