Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 396

Category: Habari za Nyumbani

TAMISEMI Yahimiza Utunzaji Kumbukumbu za Miradi

Posted on: October 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Miradi ya Maendeleo, Mwanza, Tamisemi
TAMISEMI Yahimiza Utunzaji Kumbukumbu za Miradi

Na Atley Kuni, Ofisa Habari Mwanza   HALMASHAURI za majiji na manispaa zimehimizwa kutunza na kuhifadhi miradi yote ya maendeleo inayo tekelezwa katika maeneo yao na…

Continue Reading....

TTCL Yaanzisha Kituo cha Intaneti ‘IP Pop’ Tanzania

Posted on: October 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Intaneti 'IP Pop, mkutano, TTCL
TTCL Yaanzisha Kituo cha Intaneti ‘IP Pop’ Tanzania

KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) imeanzisha kituo cha kuuzia huduma za interneti ‘IP Pop -Internet Protocol Point of Presence’ nchini ikiwa ni jitihada za…

Continue Reading....

Serikali Tatu Zingemkejeli Mwalimu Nyerere – Rais Kikwete

Posted on: October 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Mwalimu JK Nyerere, Mwenge wa Uhuru, Raisi Kikwete
Serikali Tatu Zingemkejeli Mwalimu Nyerere – Rais Kikwete

*Maisha yake alipigania Muungano na Muundo wa Serikali mbili RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa sherehe za leo za…

Continue Reading....

Pinda Ataka Kila Kata Iwe na Kituo cha Afya

Posted on: October 13, 2014 - jomushi
Post Tags: Kituo cha Afya, Pinda
Pinda Ataka Kila Kata Iwe na Kituo cha Afya

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka viongozi wa mkoa wa Tabora wajipange vizuri na kuhakikisha kuwa wanajenga vituo vya afya katika kila kata za wilaya…

Continue Reading....

Vituo 33 vya Kuwawezesha Vijana Kiuchumi Vyafunguliwa

Posted on: October 13, 2014 - jomushi
Post Tags: DSW, Kiuchumi, Vijana
Vituo 33 vya Kuwawezesha Vijana Kiuchumi Vyafunguliwa

SHIRIKALISILO la Kiserikali linalojihusisha na changamoto zitokanazo na ongezeko la idadi ya watu, DSW limefungua jumla ya vituo 33 kote nchini kwa ajili ya kuwaelimisha…

Continue Reading....

Pinda Acharuka, Ampa Kigogo Uyui Siku 60 Kuhama

Posted on: October 12, 2014 - jomushi
Post Tags: Kigogo Uyui, Pinda
Pinda Acharuka, Ampa Kigogo Uyui Siku 60 Kuhama

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amempa miezi miwili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora, Khadija Makuani kuhakikisha kuwa watumishi wote wa wilaya hiyo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari