Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 394

Category: Habari za Nyumbani

Dk. Kawambwa Kuchangisha Fedha Ujenzi Sekondari Enaboishu

Posted on: October 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Dk Shukuru Kawambwa, elimu, Sekondari
Dk. Kawambwa Kuchangisha Fedha Ujenzi Sekondari Enaboishu

Na Beatrice Lyimo, Maelezo-DSM. WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba…

Continue Reading....

Pinda Aalika Wawekezaji Sekta za Afya, Kilimo na Nishati

Posted on: October 20, 2014 - jomushi
Post Tags: afya, kilimo, Nishati, Pinda, TGAIS
Pinda Aalika Wawekezaji Sekta za Afya, Kilimo na Nishati

*Obasanjo asisitiza ajira kwa vijana Afrika   WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imefungua milango kwa wawekezaji kwenye sekta zote lakini mkazi unaelekezwa zaidi kwenye…

Continue Reading....

Mitandao ya Jamii Kutumika Kutoa Elimu ya Usalama Barabarani

Posted on: October 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Elimu ya Barabarani, Mitandao ya Jamii, Polisi
Mitandao ya Jamii Kutumika Kutoa Elimu ya Usalama Barabarani

Dodoma NAIBU Kamishna wa Polisi na Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la  Taifa la Usalama…

Continue Reading....

Manzese Sekondari Dar Kunufaika na Biogas

Posted on: October 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Biogas, Dawasa, Manzese Sekondari
Manzese Sekondari Dar Kunufaika na Biogas

Na Eleteri Mangi, MAELEZO SHULE ya Sekondari Manzese itanufaika na mradi wa ujenzi wa mtambo wa kuzalisha gesi ambayo ni nishati endelevu na rafiki na…

Continue Reading....

Rais Kikwete: Waandishi Epukeni Rushwa Kuwakemea Wengine

Posted on: October 20, 2014 - jomushi
Post Tags: CNN, Rais Kikwete, Waandishi wa Habari
Rais Kikwete: Waandishi Epukeni Rushwa Kuwakemea Wengine

Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka waandishi wa Bara la Afrika kutokujihusisha na rushwa, ili wawe na nguvu…

Continue Reading....

Rais Kikwete Ahitimisha Mafunzo ya Wakongo

Posted on: October 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Mafunzo, Raisi Kikwete, Wakongo
Rais Kikwete Ahitimisha Mafunzo ya Wakongo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ametunuku kamisheni kwa maofisa wapya wa Kitanzania 23 miongoni mwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari