MBUNGE wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge sasa ni kama ameanza kurudisha Shilingi bilioni 1.6 fedha alizopewa kama mgao zilizochotwa katika kaunti ya Tegeta Esrow baana…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Benki ya Posta, PSPF Waziduwa Mikopo ya Elimu kwa Vijana
WAZIRI wa Kazi na Ajira nchini Tanzania, Gaudensia Kabaka ameipongeza Benki ya Posta Tanzania (TPB) pamoja na Mfuko wa PSPF kwa kushirikiana na kuanzisha mpango…
Continue Reading....Bodi ya Shule Iliyopata ‘Mgao wa Escrow’ Yamtetea Prof. Tibaijuka
BODI ya Wadhamini ya Shirika la Barbro Johansson Girls’ Education Trust (JOHA TRUST au BARBRO) wamiliki wa shule za Sekondari Bingwa ya Barbro iliyopo jijini…
Continue Reading....Mchango wa Shs Elfu 15 wa Waziri Chana Wawekwa Hadharani
ZIKIWA zimepita siku mbili toka uongozi wa Serikali ya Tarafa ya Mawengi Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kuwapongeza wadau mbalimbali waliojitokeza kuchagia Shule ya Msingi Ludewa mjini iliyokubwa…
Continue Reading....Rais Kikwete Atunuku Nishani ya Ushupavu Muuza Chips Dar
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Mrisho Kikwete, Desemba 9, 2014 ametunuku Nishani ya Ushupavu kwa mfanyabiashara ya kukaanga…
Continue Reading....TAMWA Yazinduwa Tathmini ya Ripoti Mradi wa GEWE
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na taasisi anuai za kijamii kimezinduwa tathmini ya ripoti juu ya utekelezaji wa mradi wa Kutokomeza Ukatili…
Continue Reading....