Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 345

Category: Habari za Nyumbani

Albino Kumfuata Rais Kikwete Ikulu Kuhoji Vifo

Posted on: February 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Albino, Ikulu, Vifo
Albino Kumfuata Rais Kikwete Ikulu Kuhoji Vifo

 Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu vitendo vya…

Continue Reading....

Serikali Kuajiri Walimu Zaidi ya 35,000

Posted on: February 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Ajira, serikali, Walimu
Serikali Kuajiri Walimu Zaidi ya 35,000

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa…

Continue Reading....

Pinda Amzika Askofu Mstaafu Mwalunyungu Iringa

Posted on: February 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Askofu Mwalunyungu, Iringa, Pinda
Pinda Amzika Askofu Mstaafu Mwalunyungu Iringa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka Watanzania wasikilize na kufuata mafundisho yanayotolewa na viongozi wa dini ili Tanzania iwe nchi yenye watu waadilifu na wenye hofu…

Continue Reading....

NEMC Yakifunga Kiwanda cha 21st Century

Posted on: February 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Kiwanda cha 21st Century, Morogoro, NEMC
NEMC Yakifunga Kiwanda cha 21st Century

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KIWANDA cha nguo cha 21st Century kilichopo eneo la Kihonda Mkoani Morogoro kimefungiwa na Baraza la Taifa la Hifadhi…

Continue Reading....

Kiongozi CCM Aanguka Kikaoni Afariki Dunia

Posted on: February 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Afariki Zanzibar, CCM, Kiongozi
Kiongozi CCM Aanguka Kikaoni Afariki Dunia

SALMIN Awadhi Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amefariki dunia baada ya kuanguka akiwa katika kikao cha CCM Ofisi Kuu…

Continue Reading....

Japani Kuipanua Sekondari ya Wama kwa Milioni 900

Posted on: February 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Japani, Sekondari, Wama
Japani Kuipanua Sekondari ya Wama kwa Milioni 900

Na Anna Nkinda – Maelezo TAASISI ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Serikali ya Japani wametiliana saini mkataba wa mradi wa upanuzi wa shule ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari