Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 312

Category: Habari za Nyumbani

Mawaziri wa Fedha Nchi za Ukanda wa Afrika Wajadili Maendeleo

Posted on: May 26, 2015 - jomushi
Post Tags: Mawaziri wa Fedha, Ukanda wa Afrika
Mawaziri wa Fedha Nchi za Ukanda wa Afrika Wajadili Maendeleo

Na Ingiahedi Mduma, Abidjan MAWAZIRI wa Fedha wa Nchi za Ukanda wa Afrika wamekutana mjini Abidjan kwa lengo la kujadili masuala anuai ya maendeleo kwa…

Continue Reading....

JK Apinduwa Tena Wakuu wa Wilaya, Amteuwa Mmoja

Posted on: May 26, 2015 - jomushi
Post Tags: JK, Uteuzi, Wakuu wa Wilaya
JK Apinduwa Tena Wakuu wa Wilaya, Amteuwa Mmoja

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko tena ya wakuu wa wilaya nchini ikiwa ni pamoja na kumteua Anthony Peter Mavunde…

Continue Reading....

Lowassa Ataka Wanaomchukia Ndani ya CCM Wahame Chama

Posted on: May 26, 2015 - jomushi
Post Tags: CCM, Lowassa
Lowassa Ataka Wanaomchukia Ndani ya CCM Wahame Chama

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa hana mpango wa kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na iwapo kuna mtu anamchukia ndani ya chama hicho, ni vyema…

Continue Reading....

Tume ya Uchaguzi Yatoa Ratiba ya Uchaguzi Mkuu

Posted on: May 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Ratiba, Tume ya Uchaguzi, Uchaguzi Mkuu
Tume ya Uchaguzi Yatoa Ratiba ya Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC) imetangaza rasmi ratiba ya Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 2015. Kwa mujibu wa taarifa…

Continue Reading....

NSSF Yaendesha Kambi za Kupima Afya Bure Mkoani Tanga

Posted on: May 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Kupima Afya, NSSF, tanga
NSSF Yaendesha Kambi za Kupima Afya Bure Mkoani Tanga

SHIRIKA la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), litaendesha kambi za upimaji wa Afya bure kwa wakazi wa Tanga. Lengo la kambi hizi ni kuweza…

Continue Reading....

Mitazamo Hasi ya Kitamaduni Yachangia Mauaji ya Albino Tanzania

Posted on: May 24, 2015 - jomushi
Post Tags: Kitamaduni, Mauaji ya Albino
Mitazamo Hasi ya Kitamaduni Yachangia Mauaji ya Albino Tanzania

Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO nchini, Bi. Zulmira Rodgrigues, akiwasilisha mada katika warsha ya siku tatu iliyofanyika katika kijiji cha Nyakahungwa wilayani Sengerema…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari