Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 290

Category: Habari za Nyumbani

Mwanahabari Kalulunga Achukua Fomu Kugombea Ubunge Mbeya Vijiini

Posted on: July 18, 2015July 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Mbeya Vijiini
Mwanahabari Kalulunga Achukua Fomu Kugombea Ubunge Mbeya Vijiini

Na Mwandishi Wetu, Mbeya MWANDISHI wa habari mbobezi wa masuala ya Afya ya uzazi na dawa za kulevya nchini, Gordon Kalulunga, leo amechukua fomu ya…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awaasa Watanzania Nje Kusaidiana Katika Fursa

Posted on: July 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Rais Kikwete, Watanzania
Rais Kikwete Awaasa Watanzania Nje Kusaidiana Katika Fursa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka Watanzania wanaofanya kazi katika mashirika ya kimataifa nje ya nchi kuwasaidia Watanzania wenzao wenye sifa…

Continue Reading....

StarTimes Yasaidia Watoto Shule ya Walemavu wa Akili Airwing

Posted on: July 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Airwing, StarTimes, Walemavu
StarTimes Yasaidia Watoto Shule ya Walemavu wa Akili Airwing

Kutoka kulia ni wafanyakazi wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi. Elena Liu na Paulina Kaka wakifurahia jambo pamoja na Mwalimu wa Shule ya Msingi ya…

Continue Reading....

Mwanahabari Kambi Mbwana Ajitosa Ubunge Handeni Vijijini

Posted on: July 17, 2015 - jomushi
Post Tags: Ubunge Handeni
Mwanahabari Kambi Mbwana Ajitosa Ubunge Handeni Vijijini

 Na Mwandishi Wetu, Handeni MWANDISHI wa habari za michezo na mdau wa maendeleo wilayani Handeni, mkoani Tanga, amejitokeza rasmi katika mbio za kuwania ubunge jimbo la Handeni Vijijini…

Continue Reading....

UNHCR: Tanzania ni Kimbilio Salama la Wakimbizi…!

Posted on: July 17, 2015July 17, 2015 - jomushi
Post Tags: UNHCR, Wakimbizi
UNHCR: Tanzania ni Kimbilio Salama la Wakimbizi…!

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi Duniani (UNHCR) limesema kuwa Tanzania imekuwa kimbilio salama la wakimbizi kwa sababu ni nchi salama, ni nchi tulivu,…

Continue Reading....

Wakubwa Waunga Mkono Kazi ya Jopo la Rais Kikwete

Posted on: July 16, 2015 - jomushi
Post Tags: Rais Kikwete
Wakubwa Waunga Mkono Kazi ya Jopo la Rais Kikwete

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa Linalopendekeza Jinsi Dunia inavyoweza kukabiliana na majanga yajayo ya magonjwa ya milipuko,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari