Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 288

Category: Habari za Nyumbani

Ofisi ya UN Yafafanua Uchaguzi Mkuu Tanzania

Posted on: July 23, 2015 - jomushi
Post Tags: UN Tanzania
Ofisi ya UN Yafafanua Uchaguzi Mkuu Tanzania

  UMOJA wa Mataifa (UN) umetaka vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa kuhakikisha vinatoa taarifa zao kwa usahihi kuhusu maandalizi ya uchaguzi na uchaguzi…

Continue Reading....

Viongozi wa Chadema Jimbo la Kawe Wakimbilia ACT

Posted on: July 22, 2015 - jomushi
Post Tags: ACT, Mwanga, Wazalendo, Zitto
Viongozi wa Chadema Jimbo la Kawe Wakimbilia ACT

BAADHI ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema kutoka Jimbo la Kawe wamekihama chama hicho na kukimbilia Chama cha ACT, Wazalendo. Akizungumza jana…

Continue Reading....

Zoezi la Uandikishaji BVR Dar Changamoto Lukuki

Posted on: July 22, 2015 - jomushi
Post Tags: BVR, Uandikishaji
Zoezi la Uandikishaji BVR Dar Changamoto Lukuki

Na Mwandishi Wetu WAKATI zoezi la uandikishaji wapigakura likianza leo maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam tayari yameanza kujitokeza mapungufu kwa baadhi ya waandikishaji…

Continue Reading....

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi na Warsha kwa Wahariri

Posted on: July 22, 2015July 22, 2015 - jomushi
Post Tags: Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi na Warsha kwa Wahariri

  Na K-VIS MEDIA MFUKO wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), umekutana na Wahariri wa vyombo vya Habari Nchini, kwenye Hoteli ya Court Yard jijini Dar es Salaam, Julai…

Continue Reading....

Mbowe Apokea Kadi za CCM za Lembeli na Bulaya Mwanza

Posted on: July 22, 2015July 22, 2015 - jomushi
Post Tags: Chadema, Lembeli na Bulaya, Mwanza
Mbowe Apokea Kadi za CCM za Lembeli na Bulaya Mwanza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo leo jijini Mwanza kimefanya mkutano mkubwa kupokea kadi za wabunge wawili waliohama toka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na…

Continue Reading....

Breaking Newz: Basi la Kidia One Lapata Ajali Mwanza

Posted on: July 22, 2015 - jomushi
Post Tags: ajali, Mwanza

BASI la Kidia One linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limepata ajali mapema leo likiwa njiani kutoka Jijini Mwanza kwenda Dar…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari