Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 283

Category: Habari za Nyumbani

Marehemu Mzee Francis Kitime Asafirishwa kwa Mazishi

Posted on: August 4, 2015 - jomushi
Post Tags: Mazishi, Mzee Francis Kitime
Marehemu Mzee Francis Kitime Asafirishwa kwa Mazishi

BABA wa mwanamuziki mkongwe na nguli nchini Tanzania, John Kitime aliyefariki Agosti Mosi, 2015 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ya jijini Dar es Salaam amesafirishwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Arejea Baada ya Ziara ya Australia

Posted on: August 2, 2015 - jomushi
Post Tags: Australia
Rais Kikwete Arejea Baada ya Ziara ya Australia

AKIWA nchini Australia Rais Kikwete alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Australia, Bwana Tony Abbot ambaye alimpongeza kwa kuamua kukabidhi madaraka kwa kiongozi…

Continue Reading....

NHIF Yatoa Semina kwa Viongozi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadriya

Posted on: August 1, 2015 - jomushi
Post Tags: NHIF, Semina
NHIF Yatoa Semina kwa Viongozi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadriya

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF) leo umetoa elimu ya umuhimu wa viongozi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiria kujiunga na mpango wa…

Continue Reading....

Wahitimu Shule ya Msingi Muhimbili Waisaidia Shule Yao

Posted on: August 1, 2015August 1, 2015 - jomushi
Post Tags: Shule ya Msingi Muhimbili
Wahitimu Shule ya Msingi Muhimbili Waisaidia Shule Yao

Na Mwandishi Wetu WANAFUNZI waliohitimu darasa la saba mwaka 1988 Shule ya Msingi Muhimbili wametoa msaada wa viti vya kisasa 30, meza nane (9) na…

Continue Reading....

Dk. Bilal Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Barabara ya Kia-Mererani

Posted on: July 30, 2015 - jomushi
Dk. Bilal Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Barabara ya Kia-Mererani

Continue Reading....

Lowassa Achukua Fomu Kugombea Urais Tiketi ya CHADEMA

Posted on: July 30, 2015 - jomushi
Post Tags: Chadema, Lowassa
Lowassa Achukua Fomu Kugombea Urais Tiketi ya CHADEMA

WAZIRI Mkuu mstaafu na mwanachama mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa leo amechukua fomu za kugombea nafasi ya urais kupitia chama…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari