Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 275

Category: Habari za Nyumbani

Tume ya Uchaguzi Yatoa Tahadhari kwa Viongozi wa Dini

Posted on: August 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Tume ya Uchaguzi
Tume ya Uchaguzi Yatoa Tahadhari kwa Viongozi wa Dini

TUME ya Taifa ya uchaguzi NEC imewaomba viongozi wa dini zote kutumia majukwaa yao kuwaelimisha wapiga kura bila kuonyesha hisia za kuegemea upande wowote wa…

Continue Reading....

NMB Yasaidia Madawati Shule ya Msingi Kambi ya Raha

Posted on: August 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB
NMB Yasaidia Madawati Shule ya Msingi Kambi ya Raha

Meneja wa benki ya NMB tawi la Hai Medadi Malisa kulia akimkabidhi mwalimu mkuu wa shule hiyo Teodora Mlayi huku akishuhudiwa na mgeni rasmi Zuhura…

Continue Reading....

NCCR-Mageuzi; Hatujajitoa UKAWA, Wataja Majimbo Yao 19

Posted on: August 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Majimbo, NCCR-MAGEUZI
NCCR-Mageuzi; Hatujajitoa UKAWA, Wataja Majimbo Yao 19

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema taarifa zinazozagaa kuwa chama hicho kimejitoa ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) hazina…

Continue Reading....

Wasanii Makada wa CCM Kuzunguka Kuipigania Ishinde Uchaguzi

Posted on: August 20, 2015August 20, 2015 - jomushi
Post Tags: CCM, wasanii
Wasanii Makada wa CCM Kuzunguka Kuipigania Ishinde Uchaguzi

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WASANII ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameandaa Tamasha kubwa kuzunguka nchi nzima kwa pamoja na kukinadi…

Continue Reading....

Kipindupindu Chaendelea Dar, Wagonjwa Wafikia 43

Posted on: August 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Kipindupindu
Kipindupindu Chaendelea Dar, Wagonjwa Wafikia 43

 Muuguzi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Nusura Kessy (kushoto), akiwaelekeza wauguzi wa saidizi wake namna ya kuchanganya dawa maalumu ya kuondoa vijiji vinavyoweza kuambukiza ugonjwa…

Continue Reading....

Ireland Yatoa Scholarship kwa Watanzania 14…!

Posted on: August 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Ireland
Ireland Yatoa Scholarship kwa Watanzania 14…!

UBALOZI wa Ireland nchini Tanzania, umewapatia scholarship Watanzania 14 ili kusoma kozi mbalimbali za shahada ya uzamili (masters) na huku wanne kati yao wakienda kusoma vyuo vya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari