Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 261

Category: Habari za Nyumbani

UNESCO, TCRA Yawataka Wadau wa Habari katika Usiri wa Maadili

Posted on: September 15, 2015 - jomushi
UNESCO, TCRA Yawataka Wadau wa Habari katika Usiri wa Maadili

  Na Mwandishi Mwetu SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, (UNESCO), limewaomba wadau wa habari hasa wa matumizi ya intaneti kuzingatia…

Continue Reading....

Bi. Samia Suluhu Ahaidi Neema kwa Wapiga Kura Liwale na Nachingwea

Posted on: September 15, 2015September 15, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni CCM
Bi. Samia Suluhu Ahaidi Neema kwa Wapiga Kura Liwale na Nachingwea

Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu kwenye Uwanja…

Continue Reading....

Je Unaishi Maisha Bora Au Bora Maisha?

Posted on: September 14, 2015December 9, 2015 - Rungwe Jr.
Je Unaishi Maisha Bora Au Bora Maisha?

  Kwanza tusameheane ndugu zangu kwa kupotea kidogo kwenye ukurasa huu kutokana na majukumu mengine ya maisha. Pia, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru nyinyi wasomaji…

Continue Reading....

Mgombea Mwenza Chadema Juma Duni Ziarani Mkoa wa Rukwa

Posted on: September 14, 2015September 14, 2015 - jomushi
Mgombea Mwenza Chadema Juma Duni Ziarani Mkoa wa Rukwa

 Gari la mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji likilazimika kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu ya kutaka ahutubie…

Continue Reading....

Mgombea Mwenza CCM Apukutisha Upinzani Lindi, 61 Wajiunga CCM, Wamo Viongozi

Posted on: September 14, 2015September 14, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni CCM
Mgombea Mwenza CCM Apukutisha Upinzani Lindi, 61 Wajiunga CCM, Wamo Viongozi

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa…

Continue Reading....

Bonah Kaluwa Afungua Kampeni Dhidi ya Ukatili wa Jinsia Soko la Tabata Muslim

Posted on: September 14, 2015October 24, 2015 - jomushi
Bonah Kaluwa Afungua Kampeni Dhidi ya Ukatili wa  Jinsia  Soko la Tabata Muslim

Mwanaharakati wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizungumza na wanawake wakati akifungua kampeni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari