Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Imesema katika majimbo manne kumekuwa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Tume ya Uchaguzi Zanzibar Yafuta Uchaguzi Mkuu, NEC Yajiengua…!
Na Mwandishi Wetu *Lowassa Agomea Matokeo ya Urais NEC… TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imefuta matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 mjini…
Continue Reading....Waliokamatwa kwa Tuhuma za Kusambaza Matokeo ya Urais Mahakamani
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (katikati), akizungumza na mmoja kati ya vijana nane waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar…
Continue Reading....Breaking Newz; Halima Mdee Atangazwa Mshindi Jimbo la Kawe
ALIYEKUWA mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo Halima James Mdee ametangazwa kuwa ndiye Mbunge mteule wa Jimbo hilo baada ya Kumshinda mgombea wa CCM, Kipi…
Continue Reading....CCM, CHADEMA Wachuana Vikali Matokeo Uchaguzi Mkuu
MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu nafasi za madiwani, wabunge na urais uliofanyika jana maeneo mbalimbali nchini Tanzania yameanza kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)…
Continue Reading....Matukio Mbalimbali ya Upigaji Kura Uchaguzi Mkuu…!
Rukia Omari (kushoto), akimsaidia kupiga kura jamaa yake Mwanaharusi Mohamed ambaye ni mlemavu wa macho wakati wa kupiga kura katika kituo cha Mbagala Misheni Dar…
Continue Reading....