Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 218

Category: Habari za Nyumbani

Waziri Mkuu Majaliwa Ateta na Wakimbizi, Azungumzia Ngono Zembe

Posted on: December 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Wakimbizi
Waziri Mkuu Majaliwa Ateta na Wakimbizi, Azungumzia Ngono Zembe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaasa raia wanaokimbia nchi zao na kupata hifadhi Tanzania kutobeba silaha wanapoingia nchini kuja kuishi kwenye kambi za wakimbizi. Ametoa onyo…

Continue Reading....

Mawakala Tigo Pesa Zanzibar Wapewa Elimu

Posted on: December 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Tigo Pesa
Mawakala Tigo Pesa Zanzibar Wapewa Elimu

Mkurugenzi  wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na mawakala wa Tigo Pesa walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi ya  kuendesha…

Continue Reading....

Tanroads: Tunaijenga Barabara ya Kamanga Ferry kwa Lami

Posted on: December 29, 2015 - jomushi
Post Tags: barabara
Tanroads: Tunaijenga Barabara ya Kamanga Ferry kwa Lami

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO WAKALA wa Barabara nchini Tanzania (TANROADS) imesema inaendelea na ujenzi wa Barabara itokayo Kamanga Ferry kuelekea Sengerema kwa kiwango cha lami…

Continue Reading....

Waraghabishi Wakoleza Kasi ya Mabadiliko Wilayani Kishapu

Posted on: December 26, 2015 - jomushi
Waraghabishi Wakoleza Kasi ya Mabadiliko Wilayani Kishapu

Watendaji wa Kituo cha Maendeleo cha Jamii ya Uchunga wilayani Kishapu  wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi mbele ya jengo la kituo hicho likiwa…

Continue Reading....

Wanakijiji Enguserosambu Wafurahia Msitu Kurejeshwa Mikononi mwao

Posted on: December 26, 2015 - jomushi
Wanakijiji Enguserosambu Wafurahia Msitu Kurejeshwa Mikononi mwao

Mraghbishi Noorkiyengop Mbaima toka kijiji cha Enguserosambu akisimama mbele ya mifugo iliyokutwa msituni  katika eneo lililoruhusiwa la msitu wa  jamii wa Enguserosambu Ilikuwa ni siku ya shangwe na…

Continue Reading....

Ma-RC, DC Watakiwa Kudhibiti Migogoro ya Ardhi

Posted on: December 23, 2015December 23, 2015 - jomushi
Post Tags: Migogoro ya ardhi
Ma-RC, DC Watakiwa Kudhibiti Migogoro ya Ardhi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanaongeza udhibiti na usimamizi wa migogoro…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari