Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 217

Category: Habari za Nyumbani

Waziri wa Ujenzi, Prof Mbarawa Akagua Ujenzi Daraja la Kigamboni

Posted on: December 31, 2015 - jomushi
Post Tags: Miradi ya NSSF
Waziri wa Ujenzi, Prof Mbarawa Akagua Ujenzi Daraja la Kigamboni

 Barabara zinazoingia katika Daraja la Kigamboni. Mkurugezi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau akimkaribisha Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa alipofanya ziara…

Continue Reading....

Serikali Yataka Mawasiliano ya Barua Pepe Serikalini Yatumie ‘GMS’

Posted on: December 31, 2015 - jomushi
Post Tags: serikali
Serikali Yataka Mawasiliano ya Barua Pepe Serikalini Yatumie ‘GMS’

Na Aron Msigwa –MAELEZO, Dar es Salaam SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya Barua pepe za kawaida kwa watumishi wa umma wanaotuma au kupokea taarifa za…

Continue Reading....

Kampuni ya TTCL Yawazawadia Vyakula Vituo vya Wasiojiweza Dar

Posted on: December 31, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
Kampuni ya TTCL Yawazawadia Vyakula Vituo vya Wasiojiweza Dar

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akikabidhi sehemu ya…

Continue Reading....

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Ziarani Bohari ya Dawa

Posted on: December 31, 2015 - jomushi
Post Tags: MSD Tanzania
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Ziarani Bohari ya Dawa

Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitembelea moja ya ghala la kuhifadhia dawa iliyopo makao makuu ya MSD,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu…

Continue Reading....

TCRA Yazilima Faini Tigo, Airtel, Halotel na Zantel

Posted on: December 31, 2015 - jomushi
Post Tags: TCRA Tanzania
TCRA Yazilima Faini Tigo, Airtel, Halotel na Zantel

MAMLAKA ya Mawasilaino nchini Tanzania (TCRA) imezipiga faini pamoja na kutoa onyo kali kwa makampuni ya simu za mikononi za: Benson Informatics Limited (inayojulikana kama…

Continue Reading....

Kesi ya ‘Akinamasamaki wa TRA’ Kuunguruma Januari 13

Posted on: December 31, 2015 - jomushi
Post Tags: Kesi TRA
Kesi ya ‘Akinamasamaki wa TRA’ Kuunguruma Januari 13

Na Nyakongo Manyama-Maelezo KESI inayowakabili wafanyakazi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inatarajiwa kusikilizwa tena January 13, 2016. Akizungumza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari