Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 216

Category: Habari za Nyumbani

Karimjee Jivanjee Foundation Yatoa Scholarship Washindi Shule za Sekondari

Posted on: January 4, 2016January 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Scholarship
Karimjee Jivanjee Foundation Yatoa Scholarship Washindi Shule za Sekondari

Ofisa Ubalozi wa Ireland nchini, Bi. Carlo, akizungumza na Edwin Luguku na John Method kutoka Shule ya Sekondari Mzumbe, Morogoro ambao waliibuka washindi wa jumla katika…

Continue Reading....

Waziri Majaliwa Avutiwa na Hali ya Chakula Ruvuma

Posted on: January 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Waziri Mkuu
Waziri Majaliwa Avutiwa na Hali ya Chakula Ruvuma

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amefurahishwa na hali ya chakula mkoani Ruvuma, ikiwa kati ya mikoa inayotegemewa kwa uzalishaji wa chakula kwa wingi nchini. Akizungumza na…

Continue Reading....

Basi la Luwinzo Lagonga Lori Nyuma, Laua na Kujeruhi

Posted on: January 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Basi
Basi la Luwinzo Lagonga Lori Nyuma, Laua na Kujeruhi

Juu ni baadhi ya picha za ajali hiyo BASI la abiria la kampuni ya Luwinzo lifanyalo safari zake za Dar es Salaam na Njombe lemepata…

Continue Reading....

Waziri Mbarawa Awapa Siku Tatu Viongozi Ukarabati Reli ya Kati

Posted on: January 3, 2016 - jomushi
Post Tags: Ujenzi wa reli
Waziri Mbarawa Awapa Siku Tatu Viongozi Ukarabati Reli ya Kati

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini (TRL) na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (RAHCO)…

Continue Reading....

TTCL Yawafariji Yatima Siku Kuu ya Mwaka Mpya

Posted on: January 2, 2016 - jomushi
Post Tags: Msaada TTCL
TTCL Yawafariji Yatima Siku Kuu ya Mwaka Mpya

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) imeamua kusherehekea Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016 pamoja vituo vya watu wenye mahitaji maalum, wanaoishi…

Continue Reading....

Rais Magufuli Awaapisha Makatibu Wakuu, Waziri Mkuu Apongeza

Posted on: January 2, 2016January 2, 2016 - jomushi
Post Tags: Makatibu Wakuu
Rais Magufuli Awaapisha Makatibu Wakuu, Waziri Mkuu Apongeza

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewapongeza Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu, mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam. Ametoa pongezi hizo wakati Makatibu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari