Category: Habari za Nyumbani
Rais Magufuli ni Noma, TRA Yakusanya Trilioni 1.4 kwa Mwezi
Na Raymond Mushumbusi-MAELEZO JUMLA ya shilingi trilioni 1.4 imekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha mwezi Desemba mwaka uliopita wa 2015. Kiasi…
Continue Reading....Mwanza Kufanya Ibada Kumuombea Rais Magufuli na Serikali Yake
Na Nyakongo Manyama na Scolastika Tweneshe-MAELEZO MKOA wa Mwanza unatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kumwombea Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano…
Continue Reading....Rais Dk. Magufuli Ampa Pole IGP Mangu Msiba wa Msaidizi Wake
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu kufuatia…
Continue Reading....Dk. Hamisi Kigwangala Ashtukia Mchezo ‘Mbaya’ Hospitali Binafsi
Na Magreth Kinabo- MAELEZO SERIKALI imepiga marufuku tabia ya baadhi ya hospitali au taasisi binafsi za afya kuwapima wagonjwa wanaotoka hospitali za Serikali vipimo ambavyo…
Continue Reading....Dk Kingwangalla Avamia Ofisi za Damu Salama, Akemea Rushwa…!
Afisa Uendeshaji wa Ofisi za Mpango wa Taifa wa Damu Salama zilizopo jijini Dar es Salaam, Bw. Abdu Juma akitoa maelezo ya namna wanavyoendesha shughuli…
Continue Reading....