Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,084

Category: Habari za Nyumbani

JWTZ yawasaidia chakula waathirika wa mafuriko Dar

Posted on: December 30, 2011 - jomushi
JWTZ yawasaidia chakula waathirika wa mafuriko Dar

Na Mwandishi Wetu JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) limetoa msaada wa vyakula vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 25, kwa ajili ya waathirika wa…

Continue Reading....

JK atuma rambirambi kifo cha Halima Mchuka

Posted on: December 29, 2011 - jomushi
JK atuma rambirambi kifo cha Halima Mchuka

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Clement Mshana, kuomboleza kifo…

Continue Reading....

Vodacom yachangisha mil 6,284,000 kwa waathirika wa mafuriko Dar

Posted on: December 29, 2011December 29, 2011 - jomushi
Vodacom yachangisha mil 6,284,000 kwa waathirika wa mafuriko Dar

*Yawataka wananchi kuendelea kuchanga KAMPUNI ya Vodacom Tanzania inawashukuru wote ambao tayari wameshaonyesha upendo wao kupitia kampeni ya “Red Alert” na kufanikisha kukusanya shilingi 6,284,000/=…

Continue Reading....

Watu takriban 15 wauwawa kwenye mlipuko Myanmar

Posted on: December 29, 2011 - jomushi
Watu takriban 15 wauwawa kwenye mlipuko Myanmar

WATU takriban 15 wameuwawa na wengine 79 kujeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea katika mji mkuu wa Myanmar, Yangon. Maafisa wanasema mlipuko huo ulisababisha moto kwenye ghala…

Continue Reading....

Kesi ya Mubarak kuendelea Misri

Posted on: December 29, 2011 - jomushi
Kesi ya Mubarak kuendelea Misri

KESI ya aliyekuwa rais wa zamani wa Misri ,Hosni Mubarak inaanza imeanza tena tarehe 28.12.2011 mjini Cairo, baada ya kipindi cha miezi mitatu kilichoshuhudia machafuko…

Continue Reading....

Korea Kaskazini yamzika Kim Jong -il

Posted on: December 29, 2011 - jomushi
Korea Kaskazini yamzika Kim Jong -il

Korea Kaskazini inafanya maziko ya kitaifa ya kiongozi wake Kim Jong-il huku msafara mkubwa wa magari yaliyosindikiza jeneza la kiongozi huyo ukipitia mji mkuu Pyongyang.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari