Na Mwandishi Maalumu KAMPUNI ya Home Shopping Centre (HSC) imeahidi kujenga kituo cha polisi, vyomba 14 vya madarasa ofisi za walimu na chumba cha kulia…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
CHADEMA wapoteza mbunge ajalini leo
MBUNGE wa Viti Maalumu kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Rejea Mtema amefariki dunia leo asubuhi kwa ajali mkoani Pwani. Taarifa ambazo mtandao…
Continue Reading....Rais Kikwete atembelea Magwepande, Nyika aja juu
Na Joachim Mushi RAIS Jakaya Kiwete jana ametembelea ziara katika eneo la Magwepande nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kukagua miundombinu katika…
Continue Reading....Polisi wamuua jambazi aliyeua askari Arusha
*Wengine wanne washikiliwa na Polisi Janeth Mushi, Arusha JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limemuua mtuhumiwa anayesadikiwa ni jambazi, Pokea Samson Kaaya maarufu kama ‘Kaunda’…
Continue Reading....Mohamed Raza ateuliwa kugombea Uwakilishi Jimbo la Uzini
Na Sufianimafoto.blogspot.com, Zanzibar KAMATI Kuu ya CCM imemteua mwanachama wake, Mohammed Raza kuwa mgombea wa Uwakilishi jimbo la Uzini. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa…
Continue Reading....Marekani yakerwa maiti ‘kukojolewa’ na askari
WAZIRI wa Ulinzi wa Marekani, Leon Panetta amesema video inayoonesha askari wa Jeshi la Majini la Marekani wakikojolea maiti za Wafghanistan ni la “kusikitisha sana”.…
Continue Reading....