USAJILI wa wachezaji wa klabu za Ligi Daraja la Kwanza kwa msimu huu utafanyika baada ya kumalizika Ligi ya Taifa hatua ya fainali inayoendelea hivi…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Kamati TFF yamrejesha Mchaki
KAMATI ya Uchaguzi ya TFF ilikutana Agosti 10 na 11 mwaka huu kujadili rufani ya Frank Mchaki kupinga uamuzi wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama…
Continue Reading....Simba na Yanga sasa kuvaana usiku Agosti 17
MECHI ya Ngao ya Jamii (Community Shield) kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya mabingwa watetezi Yanga na Makamu Bingwa Simba itachezwa…
Continue Reading....Azam FC yatoka suluu na SC Villa ya Uganda
Kampala, TIMU ya Azam FC imetoka sare na Timu ya Mpira wa Miguu ya SC Villa ya nchiniUganda. Katika mchezo huo uliochezwa jana mjini Kampala,…
Continue Reading....Jukwaa la FFU lavamiwa na mashabiki!
FRANKFURT, UJERUMANI JUMAMOSI iliyopita mambo yalikuwa ni moto, ‘asiye na mwana abebe jiwe’, katika tamasha la Afro-karibik, Robstock park, Frankfurt, nchini Ujerumani. Pata shika la…
Continue Reading....TFF yatupilia mbali pingamizi la Yanga dhidi ya Simba
KAMATI haikusikiliza pingamizi la Yanga dhidi ya Simba kuhusu wachezaji iliyotoa kwa mkopo baada ya kubaini kuwa wachezaji ambao Simba imewatoa kwa mkopo ni wane…
Continue Reading....