Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 217

Category: Michezo na Burudani

Happiness Watimanywa Ahaidi Kufanya Vizuri Uingereza

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Happiness Watimanywa, Uingereza, Urembo
Happiness Watimanywa Ahaidi Kufanya Vizuri Uingereza

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM   MREMBO wa Tanzania wa mwaka 2013, Happiness Watimanywa ameahidi kuing’arisha Tanzania katika mashindano ya ulimbwende ya Dunia yatakayofanyika mapema mwezi…

Continue Reading....

Apigana Makaburini, Ataka Mwili wa G Mabovu Ufukuliwe…!

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Makaburini, Mlevi apigana, Msanii G Mabovu
Apigana Makaburini, Ataka Mwili wa G Mabovu Ufukuliwe…!

MATUKIO ya vituko yameonekana kutawala msiba wa msanii G Mabovu Iringa pale mlevi mmoja alipoamua kutembeza kichapo kwa wafiwa huku akishinikiza aruhusiwe kuufukua mwili wa…

Continue Reading....

Bodi ya Filamu Tanzania Yakomalia Sheria, Kanuni

Posted on: November 13, 2014 - jomushi
Post Tags: Bodi ya Filamu, Mbwa Mwitu, sheria, tanzania
Bodi ya Filamu Tanzania Yakomalia Sheria, Kanuni

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM BODI ya Filamu Tanzania imezitaka Kampuni za filamu nchini kufuata Sheria na Kanuni mbalimbali wakati wa kutengeneza filamu ili kuepusha ukiukwaji…

Continue Reading....

Kamati ya Sheria TFF Yapitisha Usajili Ligi Daraja la Pili

Posted on: November 12, 2014 - jomushi
Post Tags: Kamati ya Sheria TFF, Ligi Daraja la Pili, Usajili
Kamati ya Sheria TFF Yapitisha Usajili Ligi Daraja la Pili

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji imepitisha usajili wa Ligi Daraja la Pili (SDL) huku ikikata majina mawili ya wachezaji katika klabu za Abajalo…

Continue Reading....

Lowassa Azindua Helkopta ya Kanisa la Ufufuo na uzima

Posted on: November 10, 2014 - jomushi
Lowassa Azindua Helkopta ya Kanisa la Ufufuo na uzima

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini…

Continue Reading....

Silas Mwakibinga Atoka TPLB

Posted on: November 4, 2014 - jomushi
Silas Mwakibinga Atoka TPLB

OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Silas Mwakibinga amemaliza mkataba wake tangu Oktoba 31 mwaka huu. Shirikisho la Mpira wa Miguu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari