Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 197

Category: Michezo na Burudani

Tanzanite Kukipiga na The Young She-polopolo ya Zambia

Posted on: July 9, 2015 - jomushi
Post Tags: The Young She-polopolo, Zambia
Tanzanite Kukipiga na The Young She-polopolo ya Zambia

TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) itashuka dimbani siku ya jumamosi katika uwanja wa Azam Complex kucheza…

Continue Reading....

Bonaza la Masauni Cup Laendelea Kutoa Burudani kwa Wapenzi wa Soka

Posted on: July 7, 2015 - jomushi
Post Tags: Bonanza, Masauni CUP
Bonaza la Masauni Cup Laendelea Kutoa Burudani kwa Wapenzi wa Soka

Viongozi wa meza kuu wakifuatiliac mchezo huo kati ya Muembeladu na Kisimajongoo katika Bonaza la kukuza Vipaji kwa Vijana lililodhaminiwa na Mbunge wa Jimbo la…

Continue Reading....

Kocha Mkwasa Awashukuru Watanzania, Kozi ya Makocha Julai 13

Posted on: July 7, 2015 - jomushi
Post Tags: Kocha Mkwasa
Kocha Mkwasa Awashukuru Watanzania, Kozi ya Makocha Julai 13

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa amewashukuru watanzania wote waliowapa sapoti katika mchezo wa marudiano dhidi ya Uganda…

Continue Reading....

Michezo Bonaza la Masauni CUP Yaendelea Usiku Mjini Zanzibar

Posted on: July 5, 2015 - jomushi
Post Tags: Masauni CUP, Zanzibar
Michezo Bonaza la Masauni CUP Yaendelea Usiku Mjini Zanzibar

Mgeni raism wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2-0. mchezo uliofanyika…

Continue Reading....

CECAFA Watoa Ratiba Michuano ya Kagame 2015

Posted on: July 1, 2015 - jomushi
Post Tags: CECAFA, Kagame

RAIS wa Baraza la Vyama vya Soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, Leodgar Tenga leo ametangaza kuanza kwa michuano ya kombe la Kagame…

Continue Reading....

Boniface Mkwasa Kutupa Karata ya Kwanza Dhidi ya Uganda

Posted on: June 30, 2015June 30, 2015 - jomushi
Post Tags: Boniface Mkwasa, uganda
Boniface Mkwasa Kutupa Karata ya Kwanza Dhidi ya Uganda

TIMU ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inatarajiwa kuondoka nchini siku ya alhamis kuelekea nchini Uganda kwa ajili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari