Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 168

Category: Michezo na Burudani

Simba SC yamtangaza Kocha Mpya Raia wa Uganda

Posted on: January 11, 2016 - Yohana Chance
Simba SC yamtangaza Kocha Mpya Raia wa Uganda

MGANDA, Jackson Mayanja ameteuliwa kuwa Kocha Msaidizi wa Simba SC, kufuatia kuondoka kwa Suleiman Matola miezi miwili iliyopita. Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano…

Continue Reading....

Samatta Apewa Unahodha Taifa Stars

Posted on: January 11, 2016 - Yohana Chance
Samatta Apewa Unahodha Taifa Stars

Siku chache baada ya mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta kutangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa…

Continue Reading....

Liverpool Yabanwa Mbavu na Exeter City FA Cup

Posted on: January 9, 2016January 9, 2016 - Yohana Chance
Liverpool Yabanwa Mbavu na Exeter City FA Cup

Mechi za Raundi ya 3 ya Kombe la FA , ambalo kwa sasa linaitwa Emirates FA Cup kwa kuzikutanisha Klabu za Ligi Kuu England na…

Continue Reading....

Simba SC, Yanga Zakwepana Mapinduzi Cup

Posted on: January 9, 2016January 9, 2016 - Yohana Chance
Simba SC, Yanga Zakwepana Mapinduzi Cup

Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumkwepa mtani wake wa jadi kwenye mchezo wa nusu fainali wa michuano ya Mapinduzi Cup baada kufanikiwa kupata ushindi wa…

Continue Reading....

Platin Abwaga Manyanga Urais FIFA

Posted on: January 9, 2016 - Yohana Chance
Platin Abwaga Manyanga Urais FIFA

Rais wa shirikisho la soka la Ulaya ambaye amesimamishwa Michel Platini amesema hatawania urais wa Fifa mwezi ujao Platini, pamoja na rais wa Fifa Sepp…

Continue Reading....

Tuzo Ya Samatta Yatua Ikulu, Rais Magufuli Ampigia Saluti

Posted on: January 8, 2016 - Yohana Chance
Tuzo Ya Samatta Yatua Ikulu, Rais Magufuli Ampigia Saluti

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salam za pongezi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari