Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 164

Category: Michezo na Burudani

Sare Zatawala Ligi Kuu ya Uingereza, Liverpool Yaibania Arsenal

Posted on: January 14, 2016 - Yohana Chance
Sare Zatawala Ligi Kuu ya Uingereza, Liverpool Yaibania Arsenal

Majogoo wa Anfield Liverpool wakiwa katika dimba lao walifunga bao la dakika za mwisho na kulazimisha sare mechi kati yao na Arsenal, huku Chelsea na…

Continue Reading....

URA Wafalme Wapya Mapinduzi Cup 2016

Posted on: January 14, 2016 - Yohana Chance
URA Wafalme Wapya Mapinduzi Cup 2016

Timu ya URA ya Uganda imetwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2016 kufuatia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro usiku wa…

Continue Reading....

TFF Yatembeza Rungu Ligi Kuu, Daraja la Kwanza

Posted on: January 13, 2016 - Yohana Chance
TFF Yatembeza Rungu Ligi Kuu, Daraja la Kwanza

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imeipiga faini ya sh. 500,000 (laki tano) klabu ya Stand United baada ya timu yake kupata kadi zaidi…

Continue Reading....

TFF Yamwandalia Samatta Bonge la Pati

Posted on: January 13, 2016January 13, 2016 - Yohana Chance
TFF Yamwandalia Samatta Bonge la Pati

Kufuatia mchezaji Mbwana Samatta kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilikuwa limeandaa shughuli…

Continue Reading....

Kimenuka Tena FIFA, Katibu Mkuu Atimuliwa

Posted on: January 13, 2016January 13, 2016 - Yohana Chance
Kimenuka Tena FIFA, Katibu Mkuu Atimuliwa

Aliyekuwa Katibu mkuu wa Shirikisho la soka duniani Fifa, Jerome Valcke amesimamishwa kazi na kuondolewa rasmi kutoka kwenye wadhifa huo na shirikisho hilo. Mfaransa huyo,…

Continue Reading....

Filamu ya Wema ni Akiba Kuingia Sokoni

Posted on: January 13, 2016 - jomushi
Post Tags: Filamu
Filamu ya Wema ni Akiba Kuingia Sokoni

 Filamu ya Wema ni akiba yake mwanamama Jennifer Mgendi imekamilika. Akiongea na blogu hii Jennifer amesema filamu hiyo ambayo imewashirikisha wasanii na watumishi mbalimbali ni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari