
Na Mwandishi Wetu SHINDANO la kumtafuta malkia wa Mkoa wa Tanga mwaka huu “Redd’s Miss Tanga 2013″ linatarajiwa kufanyika Juni 22 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, mkoani humo. Akizungumza na mtandao huu jana Mkurugezi wa Kampuni ya DATK Intertaimeint, ambao ni waandaaji wa shindano hilo, Asha Kigundula, alisema kuwa warembo wote wanaoshiriki kinyang’anyiro hicho tayari wameanza [...]

SENSEI Rumadha Fundi amefanikiwa kujiongezea taaluma kutoka Usensei wa Karate na Mwalimu wa Yoda na sasa kufikia kuwa mtaalamu wa tiba za binadamu upande wa mapafu! Huyu si mwingine bali ni Mtanzania mtaalamu wa michezo ya Karate na Yoga Sensei Rumadha Fundi (3rd Dan, Black Belt) mwenye maskani yake kule nchini Marekani. Mai 17, 2013 Sensei [...]

Na Andrew Chale KUELEKEA shoo maalumu ya Miaka 13, ya mwanamuziki nguli wa bongo fleva nchini na kiongozi wa bendi yenye msisimko mkubwa ya ‘Machozi Band’, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ au Jide’ huenda kwa upande wa wasanii wa Nyumba ya Vipaji ya THT, Linah Sanga na Barnaba mwaka huu ukawa mchungu kwao kufuatia kuwepo [...]

GHANAIAN fighting machine and BEIJING 2008 Olympiad, Issa Samir becomes the first ever Ghanaian “IBF Youth Champion of the World” after stopping the Georgian handsomely true man Robison Omsarashvili 1 minute 29 seconds in round 3 at the Accra National Sports Stadium last night. Cheered on by thousands of Ghanaians who thronged the stadium from all walks [...]

Na Mwandishi Wetu MAZOEZI kwa ajili ya kujiandaa na shindano la kumsaka malkia wa Mkoa wa Tanga mwaka huu “Redd’s Miss Tanga 2013″ yanatarajia kuanza Jumatano Mei 8 kwenye Ukumbi wa Lavida uliopo jijini Tanga. Akizungumza na mtandao huu Mkurugezi wa Kampuni ya DATK Intertaimeint, Asha Kigundula Mratibu wa shindano hilo, alisema kuwa maandalizi ya shindano [...]

Timu kutoka Tanzania na Kenya ziliwakilisha vizuri Afrika mashariki katika sehemu ya saba ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™. Timu ya Kenya ilifanikiwa kuzishinda timu nyingine na kufikia hatua ya mwisho ya ukuta wa pesa wa Guinness. Kenneth kamau na Wills Ogutu wote kutoka Nairobi wamefuzu nusu fainali pamoja na watanzania Daniel Msekwa na Mwalimu Akida Hamad [...]