
ASILIMIA 26.8 hadi asilimia 31.9 ya Watanzania wanatumia pombe na asilimia 27.4 kati ya hao ambao ni wanaume na wengine asilimia 13.4 ambao ni wanawake, ni walevi wa kupindukia. Bunge lilielezwa jana. Takwimu hizo zilitolewa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, ambaye alisema kuwa viwango hivyo vimetokana na utafiti [...]

WAKATI mtu mwingine akiripotiwa kufa, hali bado ni tete katika Mji wa Mtwara kutokana na mabomu ya machozi na risasi za moto kuendelea kurindima kwenye mitaa kadhaa wakati polisi wakipambana na makundi ya vijana wanaopinga mradi wa ujenzi wa bomba la gesi kwenda Dar es Salaam. Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Ligula, [...]

Na Genofeva Matemu – MAELEZO HOSPITALI ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Tekinolojia (IMTU hospital) kwa kushirikiana na Umoja wa Jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo nchini Tanzania watatoa huduma ya upimaji afya bure jumapili Mei 26 mwaka huu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano wanaoishi maeneo ya Mbezi Beach [...]

Na Hassan Abbas, Addis Ababa Viongozi wa Afrika wametakiwa kuenzi mchango wa Waafrika walioko nje ya Bara na walioko nje ya nchi zao si tu kwa kutambua mchango wao kiuchumi bali kuwapatia haki za kiraia na kisiasa ikiwemo kupiga kura. Wito huo umetolewa jijini hapa wakati wa mkutano wa siku mbili ulioandaliwa kutafakari miaka kumi [...]

Na Mtuwa Salira wa EANA RAIS MSTAAFU wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi amependekeza kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutangaza Novemba 30 kuwa siku ya mapumziko kwa nchi zote za jumuiya hiyo ili kuongeza uelewa wa wananchi wake juu ya masuala ya mtangamano. Novemba 30, 1993 ilikuwa ndiyo siku ambapo Kamisheni ya [...]

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amelaani vikali fujo na ghasia zilizofanyika mjini Mtwara Jumatano, Mei 22, 2013, akisisitiza kuwa rasilimali yoyote inayopatikana katika sehemu yoyote ya nchi yetu ni mali ya Watanzania wote na lazima itumike kuwanufaisha wote. Rais anaamini kuwa ni jambo lisilokubalika kuwa raslimali ya nchi inaweza kuzuiliwa [...]