Meneja Mwendeshaji wa Taasisi ya MO Dewji, Francesca Tettamanzi (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa uongozi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha inayohudumia watoto wenye…
Continue Reading....Category: Trending
Waziri Kairuki Kutafuta Changamoto na Watumishi
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Anjella Kairuki (Mb) amesema atakaa na Watumishi katika ofisi zao ili kubaini changamoto zinazowakabili na kuzitatua.…
Continue Reading....TFF, TRA Wavutana, Mkutano Mkuu Wapigwa Kalenda
Mkutano Mkuu wa kawaida wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliokuwa ufanyike Tanga ikiwamo shughuli ya uwekaji jiwe la msingi kwenye kiwanja cha TFF…
Continue Reading....Wazee TAFF Wamtaka Rais Atengue Kauli Yake
Wazee wa shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) hawajakubaliana na uamuzi wa Rais wa shirikisho hilo Bw. Simon Mwakifwamba kutogombea tena nafasi ya Uraisi katika shirikisho…
Continue Reading....Japani Yaipa Tanzania Bil 210 Kusaidia Nishati ya Umeme
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba na Serikali ya Japani kiasi cha shilingi Bilioni 210 kwa ajili ya maendeleo ya mradi wa…
Continue Reading....ACT-Wazalendo Yaingilia Mgogoro wa Burudi, Yakerwa na Mauaji
CHAMA cha ACT-Wazalendo kinasikitishwa sana na mauaji yanayoendelea nchini Burundi na hasa Mji Mkuu wa nchi hiyo Bujumbura. Hali hii ya mauaji imesababishwa kwa kiasi…
Continue Reading....