Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 347

Category: Trending

Elimu ya Jando, Unyago Vizingatie Umri na Wakati – Naibu Waziri

Posted on: February 15, 2016February 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Jando na Unyago
Elimu ya Jando, Unyago Vizingatie Umri na Wakati – Naibu Waziri

Na Shamimu Nyaki MAELEZO NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura amezitaka jamii kutoa elimu ya jando na unyago kwa kuzingatia umri…

Continue Reading....

Waziri Nape Awasimamisha Kazi Watendaji wa TBC

Posted on: February 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Watendaji TBC
Waziri Nape Awasimamisha Kazi Watendaji wa TBC

Na Frank Shija, WHUSM WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amewasimamisha kazi watumishi wawili wa Shirika la Utangazaji la Taifa TBC kutokana…

Continue Reading....

Wanachama wa CCM Ilemela Wafunga Ofisi za Wadoki Saccos

Posted on: February 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Wanachama CCM
Wanachama wa CCM Ilemela Wafunga Ofisi za Wadoki Saccos

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM, Kata ya Kirumba Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza, leo wamefunga Ofisi ya Taasisi ya Mikopo ya WADOKI (Wadoki Saccos)…

Continue Reading....

Waziri Ummy Aanza ‘Kung’ata’, Awasimamisha Wakurugenzi MSD

Posted on: February 15, 2016 - jomushi
Post Tags: MSD Tanzania
Waziri Ummy Aanza ‘Kung’ata’, Awasimamisha Wakurugenzi MSD

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO WAZIRI wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Ummy Mwalimu amewasimamisha wakurugenzi toka Bohari ya Dawa ya Taifa (MSD)…

Continue Reading....

Prof Ndalichako Amzika Waziri wa Elimu wa Zamani, Elinewinga

Posted on: February 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Waziri wa Elimu
Prof Ndalichako Amzika Waziri wa Elimu wa Zamani, Elinewinga

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ,Baba Askofu Dkt Fredrick Shoo akitoa heshima ya mwisho kwa marehemu Isalia Elinewinga wakati wa shughuli…

Continue Reading....

Utamu wa UEFA Umerejea, Chealsea Kuivaa PSG

Posted on: February 15, 2016February 16, 2016 - Yohana Chance
Utamu wa UEFA Umerejea, Chealsea Kuivaa PSG

Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya (Uefa champion Ligi) itaendelea tena siku ya Kesho Jumanne Usiku kwa Mechi 2 za kwanza za Raundi ya Mtoano…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari