Mwanamuziki Kylie Minogue ametangaza kuwa yeye ni mchumba wa Joshua Sasse. Baada ya wiki kadhaa za uvumi,wawili hao wametoa tangazo rasmi kwa kuweka notisi katika…
Continue Reading....Category: Trending
Yoweri Museveni Atangazwa Mshindi wa Urais Uganda
TUME ya Uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Museveni kuwa ni mshindi wa Uchaguzi wa Urais uliofanyika Alhamisi iliyopita. Kwa mujibu wa tume hiyo Rais…
Continue Reading....Benki ya Posta Yajenga Vyoo Shule ya Msingi Makambi, Ruvuma
Wanafunzi wa shule ya msingi ya Makambi iliyopo Kata ya Ndilima Litembo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakifurahia vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Benki ya Posta…
Continue Reading....Yanga Noma, Yaichinja Simba Tena…!
TIMU ya Yanga leo imefanikiwa kutamba tena kwa watani wao wa jadi baada ya kuibamiza timu ya Simba mabao 2-0 huu ukiwa ni mchezo wa…
Continue Reading....Wanahabari Waliminya Sauti za Wanawake Uchaguzi Mkuu – TAMWA
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimesema wanawake waliogombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 walikosa nafasi ya kutosha kuzungumza…
Continue Reading....Pata Picha 19 za Vituko Michezo ya Simba na Yanga Zilizopita
Mashabiki wa Simba wakiwa Wamebeba Mfano wa Jeneza katika mchezo wao dhidi ya watani wao Yanga ambapo Timu ya SIMBA iliibuka na ushindi baada ya…
Continue Reading....