Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 301

Category: Trending

Samatta Aipaisha Stars Ugenini Wakicheza na Chad

Posted on: March 23, 2016 - Yohana Chance
Samatta Aipaisha Stars Ugenini Wakicheza na Chad

Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager leo imeibuka na ushindi wa bao 1- 0 dhidi ya wenyeji…

Continue Reading....

FIFA Yaongeza Kikosi, Franz Beckenbauer Achaguliwa kuwa……….

Posted on: March 23, 2016 - Yohana Chance
FIFA Yaongeza Kikosi, Franz Beckenbauer Achaguliwa kuwa……….

Aliyekuwa Nahodha na kisha kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani iliyotwaa kombe la dunia Franz Beckenbauer ametajwa katika orodha ya watuhumiwa 6 wanaoshukiwa kutoa…

Continue Reading....

Kwa Stars Hii Lazima Chad Ikae Leo

Posted on: March 23, 2016 - Yohana Chance
Kwa Stars Hii Lazima Chad Ikae Leo

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kimekamilika baada ya kundi la pili lenye wachezaji nane…

Continue Reading....

Mabasi Yaendayo Kasi Kuanza Wiki Hii Jijini Dar

Posted on: March 23, 2016 - Yohana Chance
Mabasi Yaendayo Kasi Kuanza Wiki Hii Jijini Dar

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mabasi yaendayo kasi (DART) yataanza kufanyiwa majaribio ndani wiki moja kuanzia sasa ili madereva waanze kuzoea njia na taa za…

Continue Reading....

Soko la Feri Latakiwa Kutafuta Gesi ya Bie Nafuu

Posted on: March 22, 2016March 23, 2016 - Yohana Chance
Soko la Feri Latakiwa Kutafuta Gesi ya Bie Nafuu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Bodi ya soko la Kimataifa la Samaki la Feri, kukutana na makampuni mbalimbali yanayouza gesi ili kupata kampuni inayouza kwa…

Continue Reading....

Spika Ndugai Afanya Mabadiliko ya Wajumbe Kamati za Kudumu za Bunge.

Posted on: March 22, 2016 - Yohana Chance
Spika Ndugai Afanya Mabadiliko ya Wajumbe Kamati za Kudumu za Bunge.

Na; Benedict Liwenga – Maelezo. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) amefanya mabadiliko ya baadhi ya Wajumbe wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari