Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 292

Category: Trending

Serikali na TTCL Kumiliki Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano Pamoja

Posted on: April 2, 2016April 2, 2016 - jomushi
Post Tags: Mkongo wa Taifa
Serikali na TTCL Kumiliki Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano Pamoja

  Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoani Kigoma wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipotembelea…

Continue Reading....

Ni Bonge la Mechi Ambalo Huitaji Kusimuliwa

Posted on: April 2, 2016April 2, 2016 - Yohana Chance
Ni Bonge la Mechi Ambalo Huitaji Kusimuliwa

Leo nchini Uhispania kuna Bonge la Mechi la mahasimu wawili wakubwa katika Ligi kuu ya Nchi hiyo yaani Barcelona na Real Madrid, utapigwa kunako dimba…

Continue Reading....

Ewura Yashusha Bei ya Umeme…!

Posted on: April 2, 2016 - jomushi
Post Tags: bei ya umeme
Ewura Yashusha Bei ya Umeme…!

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imeshusha bei ya  umeme kwa wateja wote Wajumbe kutoka Wizara ya Nishati na Madini wakitembelea…

Continue Reading....

Uwanja wa Ndege Kigoma Kujengwa Kimataifa

Posted on: April 2, 2016 - jomushi
Post Tags: Uwanja wa Ndege Kigoma
Uwanja wa Ndege Kigoma Kujengwa Kimataifa

SERIKALI imesema awamu ya pili ya Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma itaanza rasmi Julai mwaka huu. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa…

Continue Reading....

Walionunua Nyumba za NSSF Mtoni Kijichi Watakiwa Kukamilisha Malipo

Posted on: April 2, 2016 - jomushi
Post Tags: Nyumba NSSF
Walionunua Nyumba za NSSF Mtoni Kijichi Watakiwa Kukamilisha Malipo

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Khyarara ametoa rai kwa wale Wote walionunua nyumba za Mtoni Kijichi kukamilisha malipo ya nyumba…

Continue Reading....

Jeshi la Polisi Laongeza Muda Zoezi la Uhakiki Silaha

Posted on: April 2, 2016 - jomushi
Post Tags: Silaha Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi Laongeza Muda Zoezi la Uhakiki Silaha

Na Dotto Mwaibale JESHI la Polisi nchini limeongeza muda wa miezi mitatu kwa ajili ya kutoa fursa kwa wananchi kuhakiki silaha zao kote nchini. Hayo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari