Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 291

Category: Trending

Duuu Mashabiki wa Leicester City Wapewa Pombe

Posted on: April 3, 2016 - Yohana Chance
Duuu Mashabiki wa Leicester City Wapewa Pombe

Mashabiki wa vinara wa ligi kuu ya Uingereza Leicester City walioingia uwanjani hivi leo kuishabikia dhidi ya Southampton walipewa kopo la pombe au Kitumbua mlangoni.…

Continue Reading....

Bunge Kujadili Kumn’goa Zuma Jumanne

Posted on: April 3, 2016 - jomushi
Bunge Kujadili  Kumn’goa Zuma Jumanne

Bunge la Afrika kusini litajadili hoja ya kumng’oa rais Jacob Zuma madarakani siku ya Jumanne. Spika wa bunge la Afrika Kusini ametoa taarifa hiyo baada…

Continue Reading....

Rais Magufuli ahudhuria Ibada ya Kwanza kijijini kwao Chato

Posted on: April 3, 2016 - jomushi
Rais Magufuli ahudhuria Ibada ya Kwanza kijijini kwao Chato

Rais Dk. Magufuli ameungana na waumini wenzake wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita ikiwa ni Jumapili ya pili ya Pasaka. katika…

Continue Reading....

Bao la Bale Lazua Utata Camp Nou, Barcelona Wakichapwa

Posted on: April 3, 2016April 3, 2016 - Yohana Chance
Bao la Bale Lazua Utata Camp Nou, Barcelona Wakichapwa

Timu ya Real Madird imefanikiwa kuisambaratisha Barcelona kwa ushindi wa mabao 2-1 usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Nou Camp mchezo wa mwendelezo wa ligi…

Continue Reading....

Arsenal, Chelsea na Manchester City Zapiga Dazani

Posted on: April 2, 2016 - Yohana Chance
Arsenal, Chelsea na Manchester City Zapiga Dazani

Timu ya Arsenal, Chelsea na Man City leo zimefanikiwa kupata ushindi wa Mabao 4-0 kwa bili na kufanya idadi ya mabao 12 yaani kwa lugha…

Continue Reading....

Serengeti Boys Yaisambaratisha Misri Uwanja wa Taifa

Posted on: April 2, 2016April 2, 2016 - Yohana Chance
Serengeti Boys Yaisambaratisha Misri Uwanja wa Taifa

TIMU ya taifa ya Vijana ya umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys imeibuka na ushindi baada ya kuifunga Misri Mapharao mabao 2-1, katika mechi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari