Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 249

Category: Trending

DC Kihato: Ni Aibu Mwanamke Kutoka Alfajiri Kutafuta Kuni, Mume Amelala!

Posted on: May 24, 2016 - jomushi
DC Kihato: Ni Aibu Mwanamke Kutoka Alfajiri Kutafuta Kuni, Mume Amelala!

DC Kihato alisema hayo alipokuwa akizindua mradi wa Majiko Banifu wa kikundi cha ‘Moto Moto’ unaotekelezwa na wanawake wa Kijiji cha Magoza Wilaya ya Mkuranga…

Continue Reading....

FIFA Timua Timua ya Majipu Imemkumba Naibu Katibu

Posted on: May 24, 2016 - Yohana Chance
FIFA Timua Timua ya Majipu Imemkumba Naibu Katibu

Shirikisho la soka duniani FIFA limemtimua naibu katibu wake Markus Kattner kwa kujihusisha na ukiukwaji wa matumizi ya siri ya mamilioni ya dola. Kattnet raia…

Continue Reading....

Rais Dk. Shein Ateuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

Posted on: May 23, 2016 - jomushi
Post Tags: Zanzibar
Rais Dk. Shein Ateuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

RAIS Wa Zanzibar na Mwenyekiti Wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa wakuu Wa Mikoa na Wilaya. Katika taarifa yake kwa…

Continue Reading....

Boss TANAPA na Mchungaji TAG ‘Mbaroni’ Kukutwa na Jino la Tembo

Posted on: May 23, 2016 - jomushi
Post Tags: Tanapa
Boss TANAPA na Mchungaji TAG ‘Mbaroni’ Kukutwa na Jino la Tembo

Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) linamshikilia Mhifadhi Mwandamizi wa shirika hilo baada ya kuhusishwa na tukio la mchungaji kukamatwa na jino…

Continue Reading....

Rais Magufuli Ateuwa Naibu Mwanasheria, Mshauri Wake Kiuchumi

Posted on: May 23, 2016 - jomushi
Post Tags: Rais Dk Magufuli
Rais Magufuli Ateuwa Naibu Mwanasheria, Mshauri Wake Kiuchumi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Gerson J. Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Kabla ya Uteuzi…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Akutana na Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na Kamishna wa TRA

Posted on: May 23, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Akutana na Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na Kamishna wa TRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na Rais…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari