Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 245

Category: Trending

Bunge Lawasimamisha Wabunge Saba wa Upinzani…!

Posted on: May 30, 2016 - jomushi
Post Tags: Bungeni Dodoma
Bunge Lawasimamisha Wabunge Saba wa Upinzani…!

Na Aron Msigwa -Dodoma BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge limepitisha azimio la kuwasimamisha kuhudhuria…

Continue Reading....

DAWASCO Yakanusha Gari Lao Kusababisha Ajali Namanga Oysterbay

Posted on: May 30, 2016 - jomushi
Post Tags: Dawasco
DAWASCO Yakanusha Gari Lao Kusababisha Ajali Namanga Oysterbay

Na Mwandishi Wetu, SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO), imekanusha taarifa iliyoripotiwa na vyombo kadhaa vya habari juu ya gari linalodaiwa kuwa la…

Continue Reading....

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Apanga Hesabu za Waarubu

Posted on: May 30, 2016 - Yohana Chance
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Apanga Hesabu za Waarubu

Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amesema kwamba mchezo ujao kati ya Mapharao wa Misri na Taifa Stars, utakuwa ni…

Continue Reading....

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Ntibenda Akabidhiwa Madawati 100

Posted on: May 30, 2016 - Yohana Chance
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Ntibenda Akabidhiwa Madawati 100

Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) kimemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Daudi Ntibenda madawati 100 yenye thamani shilingi milioni nane ili kupunguza tatizo…

Continue Reading....

Wahamiaji 700 Wahofiwa Kufa Maji Baharini…!

Posted on: May 30, 2016 - jomushi
Post Tags: Wahamiaji Haramu
Wahamiaji 700 Wahofiwa Kufa Maji Baharini…!

UMOJA wa Mataifa (UN) umebainisha kuwa wahamiaji wapatao 700 wanahofiwa kufariki katika kipindi cha siku tatu zilizopita katika bahari ya Mediterranean. Msemaji wa Shirika la…

Continue Reading....

NMB Yashiriki Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Kilimanjaro

Posted on: May 29, 2016 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
NMB Yashiriki Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Kilimanjaro

Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi, Emanuel Kashusho akikabidhi zawadi ya T-shirt, Kalamu na Key holder kwa mgeni rasmi, Wencelaus…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari