Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 236

Category: Trending

Mamba Akwapua Mtoto na Kutoweka Naye

Posted on: June 15, 2016June 15, 2016 - jomushi
Mamba Akwapua Mtoto na Kutoweka Naye

POLISI katika Jimbo la Florida nchini Marekani wanamtafuta mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka miwili aliyenyakuliwa na mamba karibu na bustani ya shirika la…

Continue Reading....

Dunga Atimuliwa Baada ya Kutolewa Copa America

Posted on: June 15, 2016 - Yohana Chance
Dunga Atimuliwa Baada ya Kutolewa Copa America

Mchezaji wa zamani wa Timu ya taifa ya Brazil Carlos Dunga ametimuliwa kwenye nafasi ya Kocha wa Brazil kufuatia Nchi hiyo kutupwa nje ya Michuano…

Continue Reading....

Oscar Pistorius Kulipa Kwa Aliyoyafanya

Posted on: June 15, 2016 - Yohana Chance
Oscar Pistorius Kulipa Kwa Aliyoyafanya

Baba wa mwanamitindo wa Afrika Kusini ambaye aliuawa Reeva Steenkamp, amezungumza mahakamani kwa mara ya kwanza akisema kuwa muuaji wa Reva, Oscar Pistorius lazima alipie…

Continue Reading....

Mlizi wa Mwl Nyerere Aelezea Alivyomuokoa Toka kwa Waasi

Posted on: June 14, 2016 - jomushi
Post Tags: Baba wa Taifa
Mlizi wa Mwl Nyerere Aelezea Alivyomuokoa Toka kwa Waasi

MLINZI mkuu wa zamani wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Peter Bwimbo (87) ameandika kitabu kwa mara ya kwanza akiweka wazi jinsi Mwalimu alivyotoroshwa…

Continue Reading....

Benjamin Mkapa Atoa Somo kwa Kila Mtanzania

Posted on: June 14, 2016 - jomushi
Post Tags: Watanzania
Benjamin Mkapa Atoa Somo kwa Kila Mtanzania

Na Ally Daud- Maelezo RAIS mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa amewataka watanzania kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano kwa…

Continue Reading....

Mashindano ya Kuhifadhi Quraan Zanzibar Yafanyika…!

Posted on: June 14, 2016 - jomushi
Mashindano ya Kuhifadhi Quraan Zanzibar Yafanyika…!

Viongozi wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar wakifuatilia mashindano hayo yanayofanyika katika Masjid Loota Kiembesamaki Zanzibar na kuwashirikisha Vijana wa Umri mbali.  Viongozi wa Kamati…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari