Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 235

Category: Trending

Serikali Yasitisha Matumizi ya Daraja la Mbaka, Kibhundughulu

Posted on: June 16, 2016June 17, 2016 - jomushi
Serikali Yasitisha Matumizi ya Daraja la Mbaka, Kibhundughulu

  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla mwenye miwani akitizama maendeleo ya ujenzi wa daraja Mbaka katika kijiji cha Kibhundughulu  wilayani Rungwe Mkoani Mbeya…

Continue Reading....

Profesa Mbarawa Azungumza na Bodi ya Bandari Kiteknolojia

Posted on: June 16, 2016June 16, 2016 - jomushi
Post Tags: Mamlaka ya Bandari
Profesa Mbarawa Azungumza na Bodi ya Bandari Kiteknolojia

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Bodi mpya ya Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), kuanza kazi mara moja kwa…

Continue Reading....

NSSF Yaelimisha Wajasiliamali Mwanza, Ni Kuhusu Huduma Zao

Posted on: June 16, 2016 - jomushi
Post Tags: NSSF
NSSF Yaelimisha Wajasiliamali Mwanza, Ni Kuhusu Huduma Zao

Ofisa Uandikishaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Kwandu Ikombe (kushoto), akiwaandikisha wanachama wapya wa NSSF katika eneo la Tanganyika Bus mjini…

Continue Reading....

Ratiba Nzima ya EPL Msimu wa 2016/17 Hii Hapa, Arsenal Kuanza na Liverpool

Posted on: June 16, 2016 - Yohana Chance
Ratiba Nzima ya EPL Msimu wa 2016/17 Hii Hapa, Arsenal Kuanza na Liverpool

Jumamosi 13 Agosti 2016 LIGI YA PREMIA Arsenal v Liverpool 15:00 Bournemouth v Man Utd 15:00 Burnley v Swansea 15:00 Chelsea v West Ham 15:00…

Continue Reading....

Rais Barack Obama Atupia ‘Madongo’ Donald Trump

Posted on: June 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Marekani
Rais Barack Obama Atupia ‘Madongo’ Donald Trump

RAIS wa Marekani, Barack Obama, ameshtumu vikali matamshi ya mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump, kwamba waislamu wasiruhusiwe kuingia Marekani. Obama…

Continue Reading....

Dar es Salaam Yaungana na Majiji Mashuhuri Afrika Kutoa Huduma ya Uber

Posted on: June 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Dar es salaam
Dar es Salaam Yaungana na Majiji Mashuhuri Afrika Kutoa Huduma ya Uber

DAR ES SALAAM inakuwa mji wa 475 kujiunga na mtandao unaokuwa wa Uber duniani. Kwa uzinduzi wa Uber, jukwaa la ubunifu wa kiteknolojia, Dar es…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari