Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 143

Category: Trending

Tamwa na Tamko la Siku ya Mtoto wa Kike Duniani

Posted on: October 11, 2016 - jomushi
Tamwa na Tamko la Siku ya Mtoto wa Kike Duniani

  MAADHIMISHO ya Kimataifa Siku ya Mtoto wa kike Duniani yalitangazwa na Umoja wa Mataifa mwaka 2011. Maadhimisho ya kwanza ya siku hii yalifanyika Oktoba…

Continue Reading....

Tanzania Yafanya Utafiti Mbegu ya Mahindi Meupe kwa GMO

Posted on: October 11, 2016 - jomushi
Tanzania Yafanya Utafiti Mbegu ya Mahindi Meupe kwa GMO

   Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk. Hassan Mshinda, akizindua utafiti huo katika Kituo cha Utafiti cha Makutupora mkoani…

Continue Reading....

Serikali Kuongeza Mabehewa ya Abiria na Mizigo TRL

Posted on: October 11, 2016October 11, 2016 - jomushi
Serikali Kuongeza Mabehewa ya Abiria na Mizigo TRL

    SERIKALI imesema itaongeza mabehewa ya abiria na mizigo katika Shirika la Reli la Tanzania (TRL), kwa lengo la kutatua adha ya usafirishaji kwa…

Continue Reading....

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa Mwezi Septemba Washuka

Posted on: October 10, 2016 - jomushi
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa Mwezi Septemba Washuka

   Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ephraim Kwesigabo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari…

Continue Reading....

Wazee Wakumbukwa Katika Maadhimisho Wilayani Muheza

Posted on: October 10, 2016 - jomushi
Wazee Wakumbukwa Katika Maadhimisho Wilayani Muheza

   Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza katika mdahalo wa siku ya wazee kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri kulia ni Mwenyekiti wa Chama…

Continue Reading....

Naibu Waziri Anastazia Wambura Azungumza na Wawekezaji Wachina

Posted on: October 10, 2016 - jomushi
Naibu Waziri Anastazia Wambura Azungumza na Wawekezaji Wachina

Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura (kushoto) akisalimiana na Afisa Mkuu wa Kampuni ya StarTimes Bw. Leo wakati alipokutana…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari