Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 72

Category: featured

EU Wampongeza Rais Kikwete kuhusu Katiba

Posted on: March 29, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
EU Wampongeza Rais Kikwete kuhusu Katiba

NCHI WANACHAMA WA UMOJA WA ULAYA (EU) zimempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, kwa kuanzisha na kusimamia vizuri Mchakato…

Continue Reading....

JK Atuma Salamu za Rambirambi kwa Waanglikana Tanzania

Posted on: March 29, 2014April 17, 2014 - jomushi
JK Atuma Salamu za Rambirambi kwa Waanglikana Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Dkt. Jacob Chimeledya, Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, kuomboleza…

Continue Reading....

JK Apokea Ripoti ya Mahesabu ya Serikali Ikulu.

Posted on: March 29, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
JK Apokea Ripoti ya Mahesabu ya Serikali Ikulu.

  Rais Kikwete akipokea ripoti ya hesabu Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza muhtasari toka kwa  Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick…

Continue Reading....

Milioni 500 Zatengwa Ujenzi wa Nyumba za Walimu

Posted on: March 28, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
Milioni 500 Zatengwa Ujenzi wa Nyumba za Walimu

Serikali imetenga Shilingi Milioni Mia Tano (Tshs 500m) kwa Halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za Walimu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete…

Continue Reading....

Kamati ya Huduma ya Jamii Korogwe Yapitisha Mpango wa Tiba kwa Kadi

Posted on: March 27, 2014March 27, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
Kamati ya Huduma ya Jamii Korogwe Yapitisha Mpango wa Tiba kwa Kadi

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji wa Korogwe, Jerry Mwakanyamale (Kulia) akichangia mada wakati wa wa kikao cha Kamati ya Afya ya halmashauri ya mji…

Continue Reading....

“Ichambueni Rasimu ya Katiba Mpya kama Mlivyotumwa na wananchi.”Umoja wa Watumiaji wa Ardhi

Posted on: March 27, 2014March 27, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
“Ichambueni Rasimu ya Katiba Mpya kama Mlivyotumwa na wananchi.”Umoja wa Watumiaji wa Ardhi

Na Magreth Kinabo- MAELEZO,Dodoma Umoja wa Watumiaji wa Ardhi umewataka wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuanza kuifanya kuichambua Rasimu ya Katiba Mpya kama walivyotumwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari