SERIKALI inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu zinazoendelea kuchapishwa na kutangazwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuhusu Watumishi Waandamizi wa Wizara ya Maliasili na…
Continue Reading....Category: featured
Mipango ya Wanajamii ni Muhimu Katika Kusimamia Wanyamapori – UNDP
KIONGOZI wa UNDP aliyeko ziarani nchini Tanzania, Helen Clark, amesema usimamizi wa maliasili unaoshirikisha jamii ni ufumbuzi wa muda mrefu na wenye ufanisi zaidi kwa…
Continue Reading....Walimu Wapya Wilaya ya Handeni Waonja Joto ya Jiwe
Na Joachim Mushi WAAJIRIWA wapya wa fani ya ualimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga wameanza kazi kwa kuonja machungu…
Continue Reading....Rais Kikwete Awasilisha Rambirambi za Watanzania kwa rais wa Nigeria
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Mei 8, 2014, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan katika Hoteli ya…
Continue Reading....Mfumuko wa Bei Nchini Tanzania Wazidi Kuongezeka
Na Aron Msigwa – MAELEZO OFISI ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Aprili umeongezeka ikilinganishwa na mwezi uliopita kutokana…
Continue Reading....Wanaharakati Wamtaka Rais Kikwete Kuvunja Bunge la Katiba
Na Mwandishi Wetu WANAHARAKATI kutoka sehemu mbalimbali wametoa rai kwa Rais Jakaya Kikwete kulivunja Bunge maalum la Katiba ili kuunda Bunge huru litakalokuwa na wawakilishi…
Continue Reading....