Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 332

Category: featured

Ahadi ya Magu Kupata Maji Safi Lafanikiwa

Posted on: May 9, 2013May 9, 2013 - jomushi
Ahadi ya Magu Kupata Maji Safi Lafanikiwa

Na Immaculate Makilika- Dodoma SERIKALI imemwajiri Mtaalamu Mshauri wa kusanifu miundombinu ya maji katika mji wa Magu,hatua hiyo ni utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya…

Continue Reading....

Halmashauri Zashauriwa Kubuni Vyanzo vya Mapato

Posted on: May 9, 2013May 9, 2013 - jomushi
Halmashauri Zashauriwa Kubuni Vyanzo vya Mapato

Na Immaculate Makilika- Dodoma SERIKALI inatambua kazi kubwa zinazofanywa na wenyeviti wa vijiji na vitongoji katika kuhimiza na kusimamia shughuli za maendeleo kwenye maeneo yao.…

Continue Reading....

Waziri Pinda Azicharukia Serikali za Mitaa

Posted on: May 9, 2013May 9, 2013 - jomushi
Waziri Pinda Azicharukia Serikali za Mitaa

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amecharuka na kuwakemea watendaji kwenye Serikali za Mitaa ambao wanatumia nafasi zao kulazimisha kufanya biashara na Halmashauri wanazoziongoza. Ametoa kauli hiyo…

Continue Reading....

JK. Awataka Wanajeshi Kuilinda Heshima ya Tanzania

Posted on: May 8, 2013 - jomushi
JK. Awataka Wanajeshi Kuilinda Heshima ya Tanzania

Linda heshima ya Tanzania, Rais awaambia wanajeshi wanaokwenda DRC Wanajeshi wa Tanzania wanaokwenda kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wametakiwa kudumisha utamaduni…

Continue Reading....

Utafiti wa Chanjo ya Ukimwi Yaendelea Mbeya

Posted on: May 8, 2013May 8, 2013 - jomushi
Utafiti wa Chanjo ya Ukimwi Yaendelea Mbeya

NA MAGRETH KINABO- MAELEZO, DODOMA 8/5/2013 WAZIRI wa   Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa  utafiti  wa chanjo ya ugonjwa wa Ukimwi…

Continue Reading....

Wabunge Wataka Umoja Kulinda Amani na Kukemea Uchochezi

Posted on: May 8, 2013May 8, 2013 - jomushi
Wabunge Wataka Umoja Kulinda Amani na Kukemea  Uchochezi

NA  MAGRETH KINABO – MAELEZO, DODOMA BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania   limeazimia kuitaka Serikali kuchukua hatua mara moja dhidi ya viashara  vya aina…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari