Na Magreth Kinabo – Maelezo, Dodoma SERIKALI imewaagiza watendaji na wananchi kupitia kamati zao za afya kuhakikisha misamaha inatolewa kwa wote wanaostahili. Aidha imesema…
Continue Reading....Category: featured
TFF Yampa Siku Saba Mwandishi Dauda Kujieleza
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemtaka Shaffih Dauda ambaye ni mmiliki wa tovuti ya www.shaffihdauda.com kutoa maelezo kuhusiana na barua ya Shirikisho la…
Continue Reading....Dk Shein Asema Serikali Itapambana na Wavuruga Amani
Na Rajab Mkasaba, Pemba MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, amesema Serikali haitomvumilia mtu/kundi lolote,…
Continue Reading....Kiwanda cha Konyagi Chalalamika Kuchafuliwa na Magazeti
MKURUGENZI Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa jana jijini Dar es Salaam amelalamikia kitendo cha baadhi ya magazeti nchini ambayo…
Continue Reading....Kipaji cha Mpira wa Miguu Chawabeba Ghana, Waingia Nusu Fainali
KUPITIA televisheni za ITV na Clouds TV jana usiku katika kipindi cha 8 cha Guinness Football Challenge (robo fainali ya 3) Ghana waliweza kuibuka vinara…
Continue Reading....