Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 83

Author: Yohana Chance

Matokeo, Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza Soma Hapa

Posted on: April 21, 2016 - Yohana Chance
Matokeo, Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza Soma Hapa

Ligi kuu England imeendelea kwa michezo mitatu kupigwa huku timu za West Ham, Liverpool,Man United wakishinda michezo yao. Wagonga nyundo wa West Ham wameibuka na…

Continue Reading....

Wakimataifa Waangukia Pua Misri

Posted on: April 21, 2016 - Yohana Chance
Wakimataifa Waangukia Pua Misri

Wakicheza Ugenini huko Nchini Misri, Yanga wamefungwa 2-1 na Al Ahly na kuondolewa katika michuano ya klabu bingwa Africa. Mabingwa watetezi Tp Mazembe wakaondolewa katika…

Continue Reading....

Rais wa ZFA Apokea Salamu za Pongezi Kutoka kwa Hayatou

Posted on: April 20, 2016 - Yohana Chance
Rais wa ZFA Apokea Salamu za Pongezi Kutoka kwa Hayatou

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF), Issa Hayatou amemtumia salamu za pongezi Ravia Idarous Faina kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Chama…

Continue Reading....

TANAPA Kuzindua Kampeni ya Kupanda Mlima Kilimanjaro

Posted on: April 20, 2016 - Yohana Chance
TANAPA Kuzindua Kampeni ya Kupanda Mlima Kilimanjaro

Na; Ferdinand Shayo Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA limejipanga kuzindua kampeni ya kitaifa ya kufanya usafi mlima Kilimanjaro ambao unakusanya mapato ya shilingi bilioni…

Continue Reading....

Mwenyekiti wa CCM Dk Kikwete Ziarani Nchini China

Posted on: April 20, 2016April 22, 2016 - Yohana Chance
Mwenyekiti wa CCM Dk Kikwete Ziarani Nchini China

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi {CCM} na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete yuko nchini China…

Continue Reading....

Machester City Yapanwa Mbavu na Newcastle

Posted on: April 20, 2016 - Yohana Chance
Machester City Yapanwa Mbavu na Newcastle

Klabu ya Mnchester City Imeambulia Sare ya Bao 1-1 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St James’ Park…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari