Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 27

Author: Yohana Chance

Matnez Apewa Kazi ya Kumnoa Mshambuliaji Eden Hazard

Posted on: August 4, 2016 - Yohana Chance
Matnez Apewa Kazi ya Kumnoa Mshambuliaji Eden Hazard

Meneja wa zamani wa Everton, Wigan na Swansea Roberto Martinez ameteuliwa kuwa meneja mkuu wa timu ya taifa ya Ubelgiji. Martinez, 43, ambaye ni raia…

Continue Reading....

Kambi ya Taifa Stars Imebuma

Posted on: July 30, 2016 - Yohana Chance
Kambi ya Taifa Stars Imebuma

Kutokana na maombi ya klabu nyingi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutaka kuandaa wachezaji kwa ajili ya Ligi Kuu msimu unaoanza sasa, umemlazimu…

Continue Reading....

Tanzania Yaongeza Idadi ya Makocha Wenye Viwango vya CAF

Posted on: July 30, 2016 - Yohana Chance
Tanzania Yaongeza Idadi ya Makocha Wenye Viwango vya CAF

Makocha 20 wa Tanzania wanaofanya kozi ya Leseni A kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), wamemaliza kozi hiyo hatua ya kwanza na kusema,…

Continue Reading....

Vijana Kuonesha Vipaji vyake Airtel Rising Stars

Posted on: July 29, 2016 - Yohana Chance
Vijana Kuonesha Vipaji vyake Airtel Rising Stars

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine amesema kutimia kwa malengo ya Kampuni ya Simu za mkononi ya Airtel imesukuma…

Continue Reading....

TFF Yaguswa na Kifo cha Mwandishi Joseph Senga

Posted on: July 29, 2016 - Yohana Chance
TFF Yaguswa na Kifo cha Mwandishi Joseph Senga

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Theophil Makunga kutokana na…

Continue Reading....

Bilionea Dewji Kumwaga Msimbazi Mpunga Mnene

Posted on: July 29, 2016 - Yohana Chance
Bilionea Dewji Kumwaga Msimbazi Mpunga Mnene

Bilionea wa kitanzania Mohammed Dewji ‘MO’ ambaye ni mkurugenzi mtendaji na rais wa makapuni ya Mohammed Interprises (MeTL) amevunja ukimya baada ya kujitokeza na kuweka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari