Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 199

Author: Yohana Chance

Kikosi Bora EUFA Neymar, Messi, Suarezi Hawapo

Posted on: December 16, 2015 - Yohana Chance
Kikosi Bora EUFA Neymar, Messi, Suarezi Hawapo

Timu za Ligi Kuu ya Uingereza zimefanikiwa kutoa wachezaji wawili, sawa na ligi ya Ujerumani na ile ya Ufaransa katika Kikosi bora cha wachezaji kumi…

Continue Reading....

Wapuliza Kipyenga Michano ya EURO Hadharani

Posted on: December 16, 2015 - Yohana Chance
Wapuliza Kipyenga Michano ya EURO Hadharani

Kamati ya Marefa ya shirikisho la soka barani ulaya UEFA imeteua waamuzi 18 kwa ajili ya michuano ya ulaya itakayofanyika huko nchi Ufaransa mwaka 2016.…

Continue Reading....

Kanye Naye Yupo Njiani Kuachia Kitu Kipya

Posted on: December 16, 2015 - Yohana Chance
Kanye Naye Yupo Njiani Kuachia Kitu Kipya

Mwanamuziki na Mkali wa Mistari Kanye West amesema haitaji usumbufu kwasasa kutokana na kuwa katika harakati ya kuachia albam mpya ambayo ipo njiani kumalizika. Kanye…

Continue Reading....

Kim Awajia Juu Wanaomdisi Kwenye Mtandao

Posted on: December 16, 2015 - Yohana Chance
Kim Awajia Juu Wanaomdisi Kwenye Mtandao

Msanii wa Musiki Kim Kardashian amesema ni laana Wakati Shabiki anapojaribu kuandika maneno ya dharau Kwa kutoheshimu au kujiheshimu Wakati ana wafuasi takriban milioni 40.…

Continue Reading....

Chelsea Yafumuliwa, Leicester City Yarudi Kileleni

Posted on: December 15, 2015 - Yohana Chance
Chelsea Yafumuliwa, Leicester City Yarudi Kileleni

Klabu ya Leicester City Usiku wa leo imefanikiwa kurudi Kileleni mwa ligi kuu England baada ya kuifunga Chelsea bao 2-1 na kufanikiwa kuipiku Arsenal iliyokua…

Continue Reading....

UEFA: Arsenal Mdomoni mwa Barcelona, Chelsea na PSG

Posted on: December 14, 2015 - Yohana Chance
UEFA: Arsenal Mdomoni mwa Barcelona, Chelsea na PSG

Klabu ya Arsenal ya Uingereza imepangwa na Barcelona ya Uhispania, ambao ndio mabingwa watetezi, kwenye hatua ya 16 bora Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya. Mechi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari