Mwanamichezo nguli aliyewahi kuwa mcheza golf namba moja duniani Tiger Woods, amesema kwamba ana matarajio ya kushinda michuano mikubwa zaidi katika kipindi cha miaka kumi…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Michuano ya Mapinduzi Kuanza Januari 2
Mashindano ya Mapinduzi yanayofanyika kila mwaka visiwani Zanzibar yanatarajia kuanza kufanyika Januari 2 kwa kushirikisha timu kutoka Tanzania Bara, Kenya na Uganda. Katibu Mkuu wa…
Continue Reading....FIFA Bado Yanuka Rushwa, Tokyo Ahojiwa
Mmoja wa wagombea wa kiti cha Urais wa shirikisho la soka duniani FIFA Mosima Gabriel “Tokyo” Sexwale raia wa Afrika Kusini, amehojiwa kuhusiana na madai…
Continue Reading....Maandalizi Michuano ya CHAN Yakamilika Nchini Rwanda
Rais wa Shirikisho la Soka Rwanda (FERWAFA) na Mkuu wa Kamati ya Ndani ya Maandalizi (LOC) ya Michuano ya Ubingwa wa Mataifa wa Afrika (CHAN),…
Continue Reading....Arsenal Yaisambaratisha Manchester City mabao 2
Timu ya soka ya Arsenal usiku wa kuamkia le imeifunga Manchestaer City mabao 2-1 na kuendelea kujiimarisha katika msimamo wa ligi kuu ya England Mabao…
Continue Reading....Mourinho Avizia Kibarua Cha Van Gaal
Tayari tetesi za Kocha aliyetimuliwa katika klabu ya Chelsea Jose Mourinho kuchukua mikoba ya meneja wa sasa wa klabu ya Manchester United Luis Van Gaal…
Continue Reading....