Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 187

Author: Yohana Chance

Kocha Mkuu wa Twiga Stars Amwaga Manyanga

Posted on: January 8, 2016 - Yohana Chance
Kocha Mkuu wa Twiga Stars Amwaga Manyanga

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amejiuzulu nafasi hiyo baada ya kuomba kwa uongozi wa…

Continue Reading....

Pierre-Emerick Afuata Nyayo Za Samatta naye Abeba Tuzo

Posted on: January 8, 2016January 8, 2016 - Yohana Chance
Pierre-Emerick Afuata Nyayo Za Samatta naye Abeba Tuzo

Baada ya Samatta Kutwaa Tuzo ya mwanasoka bora Barani Afrika kwa wachezaji wa Ndani, tuzo ya mwanasoka bora barani Afrika wanaocheza nje ya Bara la…

Continue Reading....

Samatta Mfalme Wa Soka Wa Afrika Atwaa Tuzo

Posted on: January 8, 2016January 8, 2016 - Yohana Chance
Samatta Mfalme Wa Soka Wa Afrika Atwaa Tuzo

Mbwana Samatta ndio jina liliotajwa zaidi kwenye vinywa vya watanzania wengi na Afrika kiujumla ndani ya masaa kadhaa yaliyopita baada ya mwanasoka huyo wa Kitanzania…

Continue Reading....

Mbunge Wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari Ageuka Magufuli, Afanya Ziara ya Kushitukiza

Posted on: January 7, 2016January 7, 2016 - Yohana Chance
Mbunge Wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari Ageuka Magufuli, Afanya Ziara ya Kushitukiza

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari Akisikiliza kero za wagonjwa katika Hospitali ya Tengeru , alifika hospitalini hapo ili kujua matatizo yanawakumba wagonjwa, hasa wakina…

Continue Reading....

Picha ya Diamond Platinumz na Tiffah Yawa Gumzo Mitandaoni

Posted on: January 7, 2016January 7, 2016 - Yohana Chance
Picha ya Diamond Platinumz na Tiffah Yawa Gumzo Mitandaoni

Picha hii ya mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiwa amem-kiss mtoto wake Tiffah yazua mjadala kwenye mtandao wa instagram. Zari the Boss Lady ‘Mama…

Continue Reading....

Manchester City Yapigwa na Everton Capital One

Posted on: January 7, 2016 - Yohana Chance
Manchester City Yapigwa na Everton Capital One

Klabu ya soka ya Everton imefanikiwa kuchomoza na ushindi katika michuano ya kombe la Ligi Nchini Uingereza baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari