YANGA SC imeaga michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa na URA ya Uganda kwa penalti 4-3, kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Simba SC yamtangaza Kocha Mpya Raia wa Uganda
MGANDA, Jackson Mayanja ameteuliwa kuwa Kocha Msaidizi wa Simba SC, kufuatia kuondoka kwa Suleiman Matola miezi miwili iliyopita. Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano…
Continue Reading....Samatta Apewa Unahodha Taifa Stars
Siku chache baada ya mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta kutangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa…
Continue Reading....Liverpool Yabanwa Mbavu na Exeter City FA Cup
Mechi za Raundi ya 3 ya Kombe la FA , ambalo kwa sasa linaitwa Emirates FA Cup kwa kuzikutanisha Klabu za Ligi Kuu England na…
Continue Reading....Viongozi Wanaongoza Kwa Kulia Hadharani
Rais wa Marekani aligonga vichwa vya habari alipotokwa na machozi alipokuwa akiwahimiza Wamarekani wakubali mabadiliko kwenye masharti ya uuzaji wa silaha Marekani. Alizidiwa na hisia…
Continue Reading....Simba SC, Yanga Zakwepana Mapinduzi Cup
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumkwepa mtani wake wa jadi kwenye mchezo wa nusu fainali wa michuano ya Mapinduzi Cup baada kufanikiwa kupata ushindi wa…
Continue Reading....