Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Barcelona, na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, ametwaa tuzo ya mchezo bora wa dunia, Hii ni mara…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Messi, Ronaldo,Neymar Kutafuta Heshima Leo Tuzo ya Ballon d’Or
Mmoja kati ya miyamba ya soka duniani,Lionel Messi,Christiano Ronaldo au Neymar huenda akatawazwa kuwa mshindi wa tuzo la Ballon d’Or,tuzo linalopewa mchezaji bora duniani. Tuzo…
Continue Reading....Sepp Blatter Kutinda Mahakamani Kukata Rufaa
Mwanasheria wa aliyekuwa Rais wa shirikisho la Soka Duniani FIFA Sepp Blatter anatarajiwa kuwasilisha rufaa yake kupinga kufungiwa miaka minane kujishughulisha na masuala ya soka.…
Continue Reading....Matokeo Ligi Mbalimbali Ulimwenguni
England – FA Cup: January 10 Oxford United 3 – 2 Swansea City Carlisle United 2 – 2 Yeovil Town Chelsea 2 – 0 Scunthorpe…
Continue Reading....Chelsea Yasonga Mbele FA CUP, Yapiga Mtu 2-0
Chelsea imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya FA baada ya kuifunga timu ya Scunthorpe United mabao 2-0 yaliyofungwa na Diego Costa pamoja na Hazard Mabingwa…
Continue Reading....Bale Apiga Hat trik La Liga, Messi Naye Atupia Mbili
Mchezaji Gareth Bale alifunga mabao matatu na kumfanya kocha mpya wa kilabu ya Real Madrid Zinedine Zidane kupata ushindi wa kwanza katika kazi yake dhidi…
Continue Reading....