Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 182

Author: Yohana Chance

Magonjwa Yasiyoambukiza Yaongezeka Tanzania.

Posted on: January 13, 2016January 13, 2016 - Yohana Chance
Magonjwa Yasiyoambukiza  Yaongezeka Tanzania.

Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya moyo ,kisukari na saratani ,Watanzania wameaswa kuzingatia lishe bora na mtindo bora wa maisha ili kuepuka…

Continue Reading....

Jinsi Wiki Ilivyomwendea Vizuri Samatta Tangu Anyakue Tuzo

Posted on: January 13, 2016 - Yohana Chance
Jinsi Wiki Ilivyomwendea Vizuri Samatta Tangu Anyakue Tuzo

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta bado yupo kwenye headlines January 11, Samatta…

Continue Reading....

Cheki Picha za Messi Alivyo Twaa Ballor d’Or

Posted on: January 13, 2016 - Yohana Chance
Cheki Picha za Messi Alivyo Twaa Ballor d’Or

January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa…

Continue Reading....

Filamu ya Revenant imepata tuzo Kwa Ubora Wa Kuigiza

Posted on: January 13, 2016 - Yohana Chance
Filamu ya Revenant imepata tuzo Kwa Ubora Wa Kuigiza

Filamu ya Revenant imepata tuzo katika hafla ya mwaka huu ya Golden Globes baada ya kushinda taji kuu la filamu yenye mchezo bora wa kuigiza.…

Continue Reading....

Imegoma Goetze Kurejea Uwanjani Februari

Posted on: January 13, 2016 - Yohana Chance
Imegoma Goetze Kurejea Uwanjani Februari

Mabingwa wa Bundesliga Bayern Munich bado wataendelea kuzikosa huduma za kiungo wa Ujerumani Mario Goetze wakati mzunguko wa pili ya msimu wa ligi kuu ya…

Continue Reading....

Dortmund: Pierre Aubemeyang Hatoki Hapa

Posted on: January 13, 2016 - Yohana Chance
Dortmund: Pierre Aubemeyang Hatoki Hapa

Uongozi wa Klabu ya Ujerumani Borussia Dortmund imemaliza uvumi kwamba mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubemeyang huenda akaihama kilabu hiyo katika dirisha la uhamisho mwezi huu.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari