Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 174

Author: Yohana Chance

Jinsi Tuzo ya Oscar Inavyowatoa Macho Wasanii Weusi

Posted on: January 21, 2016 - Yohana Chance
Jinsi Tuzo ya Oscar Inavyowatoa Macho Wasanii Weusi

Mcheza filamu raia wa kenya Lupita Nyong’o ameungana na wacheza filamu wengine kushutumu kutojumuishwa kwa wacheza filamu weusi au wale wachache kutoka kwa orodha ya…

Continue Reading....

Samatta Atua TP Mazembe Kutoa Mkono Wa Kwaheri

Posted on: January 21, 2016 - Yohana Chance
Samatta Atua TP Mazembe Kutoa Mkono Wa Kwaheri

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta alitarajia kuondoka asubuhi ya jana kwenda Lubumbashi, Jamhuri ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kujiunga na…

Continue Reading....

Simba Sc Yaanza Kuota Ubingwa, Azam Yapanda Kileleni

Posted on: January 21, 2016January 21, 2016 - Yohana Chance
Simba Sc Yaanza Kuota Ubingwa, Azam Yapanda Kileleni

Klabu ya Simba imefanikiwa kuwa na matokeo mazuri tangu kikosi hicho kiwe chini ya Kocha raia wa Uganda Jackson Mayanja, Baada ya jana kuilaza JKT…

Continue Reading....

Rwanda Yatinga Robo Fainali Michuano ya CHAN

Posted on: January 21, 2016 - Yohana Chance
Rwanda Yatinga Robo Fainali Michuano ya CHAN

Rwanda imekuwa timu ya kwanza kufuzu kwa robofainali ya michuano ya taifa bingwa Afrika kwa wachezaji wa ndani baada ya kuilaza Gabon. Rwanda, ambao ni…

Continue Reading....

Ligi Kuu Kuendelea Leo, Yanga Kuikaribisha Majimaji Taifa

Posted on: January 20, 2016 - Yohana Chance
Ligi Kuu Kuendelea Leo, Yanga Kuikaribisha Majimaji Taifa

Ligi Kuu ya Vodacom mzunguko wa 15 unatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa michezo mitano, na Alhamisi kwa michezo mitatu kwa kila timu kusaka pointi tatu…

Continue Reading....

Rais wa Chama Cha Soka Barani Asia Atembelea Ofisi Za TFF

Posted on: January 20, 2016 - Yohana Chance
Rais wa Chama Cha Soka Barani Asia Atembelea Ofisi Za TFF

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Asia (AFC), na Makamu wa Rais wa FIFA, Sheikh Salman Bin Ebrahim Al Khalifa jana ametembelea wizara…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari