Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 131

Author: Yohana Chance

Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Barabara ya Arusha – Holili Kenya

Posted on: March 3, 2016March 3, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Barabara ya Arusha – Holili Kenya

Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli leo ameweka jiwe la Msingi la ujenzi katika barabara inayoelekea Nchini Kenya yenye urefu wa Km…

Continue Reading....

Arsenal Mambo Magumu Kunyakua Ndoo ya EPL, Liverpool Yalipa Kisasi

Posted on: March 3, 2016March 3, 2016 - Yohana Chance
Arsenal Mambo Magumu Kunyakua Ndoo ya EPL, Liverpool Yalipa Kisasi

Matumaini ya Arsenal kutwaa taji la ligi ya Uingereza kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 12 yalipata pigo baada yao kulazwa 2-1 na…

Continue Reading....

Twiga Stars Wapigwa Jeki Kuwelekea Mchezo wa Kesho Dhidi ya Zimbabwe

Posted on: March 3, 2016 - Yohana Chance
Twiga Stars Wapigwa Jeki Kuwelekea Mchezo wa Kesho Dhidi ya Zimbabwe

Picha na Anna Nkinda Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akimkabidhi Mhasibu wa wizara hiyo Godfrey Osmund shilingi milioni…

Continue Reading....

Rais wa TFF Jamal Malinzi Ampongeza Infantino

Posted on: March 3, 2016 - Yohana Chance
Rais wa TFF Jamal Malinzi Ampongeza Infantino

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa Gianni Infantino kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho…

Continue Reading....

BMT kuadhimisha siku ya wanawake Duniani kwa Kushiriki katika Michezo.

Posted on: March 3, 2016 - Yohana Chance
BMT kuadhimisha siku ya wanawake Duniani kwa Kushiriki katika Michezo.

Ally Daud – Maelezo Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Bi. Zaynab Matitu akiongea na waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusu kushiriki katika…

Continue Reading....

Wazimbabwe Kuwasili Leo Kuwakabili Twiga Stars

Posted on: March 3, 2016 - Yohana Chance
Wazimbabwe Kuwasili Leo Kuwakabili Twiga Stars

Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Wanawake ya Zimbabwe, inatarajiwa kuwasili leo Alhamis mchana wakiwa na msafara wa watu 29, wakiwemo wachezaji 20…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari